Waungwana tusizunguke mbuyu...wote hapa naamini ni wadau wa mapenzi,kwa phenomenum kwamba km bado hujaji commit yatosha tu kujiaminisha tu kua upo duniani kwa mchakato wa mapenzi!
Nirudi kwenye hoja ya msingi! Nani asyeamini mapenzi ni kitu kinachoweza kumhamisha mtu kutoka state moja ya mind hadi nyingine..nani?
Km jitu zima kabisa km mimi babu yenu naitwa baby na nakua mdogo ka aspirin kwanini nishangae mtu kutumia ubee wa mkewe! Thereinafter kuna watu wameenda mbele zaidi kwa kuongeza initials km muheshimiwa mpendwa mke wangu,hon mama fulani n so forth...nawasilisha hoja