Bado haujanipatakwa mtazamo huo hapo juu sijui kama inawezekana na hasa hapa TZ,
Kama BAADHI ya wanaume wanaishi kwenye nyumba ya mke wake,au nyumbani kwa wakweze(yaani wazazi wa mke), 100% mwanamke ndiye anakuhudumia mume wake pamoja na familia. KUNA UBAYA GANI MWANAUME UKITUMIA SURNAME YA MKE?
Aah jamani wanaume onesheni basi upendo KWA WAKE ZENU kwa kutumia majina yao...lol,
Na hasa mnaowaza kufunga ndoa sasa hivi hili wazo mnaweza kulifanyia kazi..lol.
ILA DADA UNAPOSIKIA KAKA YAKO ANATUMIA SURNAME YA MKE WAKE UTAJISIKIAJE??....lol
Bado haujanipata
mhh huyo si mwanaume tena atakuwa wa kiume....
yeah possibly inawezekana kwa Matrilineal society which based on kingship with the mother or the fimale line!
Habari ya W/end wanaJF
naomba kuuliza
mwanaume anaweza kubadilisha ubini (Surname) yake na kutumia ya mkewe?
Bado haujanipata
Habari ya W/end wanaJF
naomba kuuliza
mwanaume anaweza kubadilisha ubini (Surname) yake na kutumia ya mkewe?
Nnunu
hapa TZ Bongo
Shosti
hii dunia kuna mambo kweli
tulikuwa tunajua surname aliyokuwa anatumia mume/watoto ni kutoka kwa upande
wa mume kumbe ni kwa mkewe walifanya siri sana
A woman has no religion/clan/sirname/culture & norm etc until she gets merried.
Black woman ni kweli inawezekana na hii inatokea sana katika familia ambazo unakuta mdingi ni tajiri level kama millionea or tycoons uko - na katika situation ni kua anakua hana mtoto wa kiume bali wa kike, ili kuhakikisha jina lake huyo mzee linabaki kijana yeyote mwenye vigezo na willing anaoa huyo binti na kuchukua jina la baba mkwe, hata watoto vivyo hivyo.
Kimbembe chake katika hio hali unafikiri huyo mwanaume alie rithi jina anaishi kwa staili gani? hana maamuzi, hana uwezo (material), hana mwelekeo, hana jina - katika kundi langu la wanaume huyo nae ni mmoja wapo kutolewa nje!

a woman has no religion/clan/sirname/culture & norm etc until she gets merried.
Kwahiyo niitwe Finest Nnunu lolha ha ha ha aaaaaa VIBAYA HIVYO THE FINEST.......,
Jina niniii bana mbele ya mapenzi...
mhh huyo si mwanaume tena atakuwa wa kiume....