Mwanaume kuwa na mapozi ya kike

Mwanaume kuwa na mapozi ya kike

Nawa watu wengi wa namna hio unakuta phonebook yake imejaaaa namba za wanawake tu .yani hangout yake ni ya wanawake tu.. ataanzaje kuji mix na wanyamwenga sasa na vibana msuli vyao vile. Vaa jeans iachie paja kidogo. Sio paja mtoto waki ume lina banwa kama demu bwana
 
Nafikiri ni mtindo ambao vijana wengi wa kibongo wameanza kuingiza vichwani, mtu anaona akichanganya swaga za kike na za kiume ndo anakuwa wa kisasa, angalia hata mavazi ya suruale za vichupa, nywele na rangi rangi, mahereni, vitisheti tight, alafu ni africa tu us ukiacha hereni za hapa na pale ambazo zinapungua, huwezi kukuta watu wamevaa vichupa, mpaka najiuliza vijana wa kibongo wanatoa wapi..?! Huwezi kuamini us mtu akiingia kwenye basi na mlegezo watu wanamshamgaa sana.
Housing ya kiume software ya kike....
 
Yote 9 ila 10 mimi yule rio wa insta ndio kabisa huwa nashangaa kwanza mikoba anayo beba yakike sio ya kike, njoo pozi zake sasa mamaeee yani ni tabu tupu!
ndio nani huyo tena:
 
Hivi wabongo tuna tatizo gani sisi..?!!! Tuna ujuaji wa kishamba sana..!! Unajua nilipo mimi..?!!
hahahahahaahahahaha kama nakuona mkuu ulivyo kasirika mtu kujifanya anakujua kumbe holaaaaaa hahahaha wabongo ndivyo tulivyo punguza munkari.
 
hahahahahaahahahaha kama nakuona mkuu ulivyo kasirika mtu kujifanya anakujua kumbe holaaaaaa hahahaha wabongo ndivyo tulivyo punguza munkari.

mkuu zipompa acha tu, wakati mwingine sisi wabongo tunazidi mkuu, yaani utafikiri mtu anakufahamu dah..
 
hahahahahaahahahaha kama nakuona mkuu ulivyo kasirika mtu kujifanya anakujua kumbe holaaaaaa hahahaha wabongo ndivyo tulivyo punguza munkari.
apunguze munkari kwa kweli na arudi kwenye topic, hapa naona topic ni vingine sio kujuana ni namna watu wanavyoharibika tabia.
 
us unayoizungumzia inaweza kuwa ni USA RIVER sio kule Michigan au Labda izo story umehadithiwa na mtoto wa Shangazi yake jirani yenu. Japo nakubaliana na wewe mtoto wa Kiume kuwa na swaga za kishosti ni kichefchef, Hatufagilii kuwa na Boyfriend or even a Friend wa style izo

Ha haha ha ha umenifanyanicheke kwa Nguvu mwenzio mpaka naonekana kichaa,
 
kuna kipindi uvumi ulipita kuwa Deo ni shoga na alishawahi kukutwa na basha lake la kizungu kule zenji...
 
deo gani mzee. ila yule dogo wa nivana ni punga laivu. kadinda, salama,rio,wale wahindi wawili wanamitindo hasanali na kile chembamba, wote mashoga tu. piga bunduki wote futilia mbali kabisa.
 
Back
Top Bottom