Hakuna maajabu mkuu chini ya jua,ila itakua ajabu kama kwenu hayapo na huenda na mie nikiona kitu kwenu naweza kushanga pia..Mmh, haya maajabu
Mkuu,mie nilivyo mpole wala hata kidole huwezi kuninyooshea nini kunipiga makofi,kanga sijasema atoke nayo njee yuko ndani kwake na mkewe why not? sijui wanaume wengine wanainaje ila sioni mbaya ila nyie baadhi ya wanaume mna fikiria vibaya...sijaelewa unataka avae niyo kanga ugundue nini, uone kitu kinavyojimwaya mwaya ama unataka umtazame makalio yake, sis tunapenda tuwaangalie hizo sehemu zenu za nyuma zilivyobarikiwa, sasa kwa mwanaume cjui unataka ugundue nini we mwanamke, afu mna watoto, avae khanga mbele ya wanae, mimi ningekunasa kofi
Mkuu,mie nilivyo mpole wala hata kidole huwezi kuninyooshea nini kunipiga makofi,kanga sijasema atoke nayo njee yuko ndani kwake na mkewe why not? sijui wanaume wengine wanainaje ila sioni mbaya ila nyie baadhi ya wanaume mna fikiria vibaya...
Aymatu,Kipimo gani umetumia kuni judge imani yangu? ebu soma vizuri uelewe halafu jibu usijibu kwakua unataka kujibu, kwani kusema napenda mumewangu avae kanga baada ya kuvaa kikoi shida iko wapi? rudia tena na tena ili uielewe...WEW KWEL NI MUSLIM?
Umesoma TAALIM LI BANATI? Jamaa ana bonge la hasara KAMA UMESOMA HIZO SHERIA
No jokes around by the way hakuna kigumu Kwa mwanaume kama siku yake ya kwenda jando vingine vyote anaweza Kwa ushawishi Mkubwa wa mwanamke still have a faith you can do,Mkuu kwa mume wangu mie hua hana jokes kama kitu hapendi,ni 17yrs sasa ila ndio kama janaaaaa hata sijui anajionaje lakini hodari wa kuivua kama umeivaa...lol...........
Unamletea mmeo dalili za kishoga mkuu,kwani huna vazi zingine?? Waislam bwanaHakuna maajabu mkuu chini ya jua,ila itakua ajabu kama kwenu hayapo na huenda na mie nikiona kitu kwenu naweza kushanga pia..
Huenda umenielewa vibaya shem!Aymatu,Kipimo gani umetumia kuni judge imani yangu? ebu soma vizuri uelewe halafu jibu usijibu kwakua unataka kujibu, kwani kusema napenda mumewangu avae kanga baada ya kuvaa kikoi shida iko wapi? rudia tena na tena ili uielewe...
so unataka nikusapoti ama!!!!Mkuu ebu tulia uisome pole pole nadhani umeielewa vibaya,kwani kikoi si sawa na kanga tuu?
'utasikia mbona limekupendeza tu'[emoji2][emoji2]Hawa wake wengine mungu niepushe nao maana waaanzaga hiv hivi pale wanapokupa libwata kuona kama linafanya kazi
Mwisho wanakuvalisha dera
VizuriAhsante mkuu nimekuelewa..
Mwembamba GYM asubuhi na jioni mkuu..Kwani mumeo ana mahips?
Sawa..so unataka nikusapoti ama!!!!
nimekwambia mwanaume kuvaa kanga iwe chumbani ama wapi ni ajabu lingine la dunia na linahitaji watalii.
Na kusema kwamba kikoi ni sawa na khanga huo ni mtazamo wako tu!!!
Haya Ahsante pia si haba umetoa mchango na wewe..Kwan wew unafaidika nn mmeo akivaa kanga?mm sion faida ya kuvaa kanga kabsa na siwez ipuuz huo wa kushindaa na kanga duuu wanawake bna tafuta bc mchepuko uwe unauvalisha kanga kama ukiwa na.mvaa kabga huwa unajiskia raha
Yaniii hata sijui nikuelewesheje,ila haya nimekuelewa...Unamletea mmeo dalili za kishoga mkuu,kwani huna vazi zingine?? Waislam bwana
Nakuelewa shosti,sababu kila mtu na alikotoka ila wengi wa pwani its normal..Mwanaume akivaa kanga mie namshangaa!