Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Akwilina Kapigwa Risasi Na Kuuawa Kikatili, Ninyi Takataka Mnaojifanya Mnamtajataja Mungu Wala hamwoni Tatizo Tena Ndo Mnachekelea Mimeno Nje Kama Ngiri.Mkuu Mwenyezi Mungu kaweka mgawanyo wa maisha ili kila binafamu apate riziki Yake na kipato.Kuwa wewe Kama una kipato Cha mshahara Kipato Cha biashara unatakiwa umwachie mwingine.Wafanyakazi wote wakianzisha biashara hao wa mitaani kipato chap watatoa wapi? Mshahara uchukue wewe Banda la mkaa uuze wewe ,genge uuze wewe nk hao wanunuzi wako kipato chao unataka kitoke wapi? Wewe una mshahara kanunue mkaa kwa mwingine asiye na mshahara anayetegemea kipato kwa kuuza mkaa tu
Mkuu Mwenyezi Mungu kaweka mgawanyo wa maisha ili kila binafamu apate riziki Yake na kipato.Kuwa wewe Kama una kipato Cha mshahara Kipato Cha biashara unatakiwa umwachie mwingine.Wafanyakazi wote wakianzisha biashara hao wa mitaani kipato chap watatoa wapi? Mshahara uchukue wewe Banda la mkaa uuze wewe ,genge uuze wewe nk hao wanunuzi wako kipato chao unataka kitoke wapi? Wewue una mshahara kanunue mkaa kwa mwingine asiye na mshahara anayetegemea kipato kwa kuuza mkaa tu
hahaa...yani ni ukomo wako umeamua kuishia hapo..ebu tembelea casino uone...acha kufunga akili yako babuhapo pa kubet umechemka.huwezi kuwa tajiri kwa kucheza kamari abadan.labda uchezeshe kamari.
Maisha Sio formula kuwa mfanyakazi kufanikiwa kimaisha lazima awe na kabiashara pembeni chaweza kuwa ndio kifo chake kwenye utendaji kazi ofisini akashangaa wenzie wanapanda vyeo kwa Kasi yeye yupo yupo tu sababu concentration kwenye kazi Hana ya kutosha kazini.Yuko kazini Huku anaota mabanda Yake ya kuku na mabanda la mkaa!!! Unakuta utendaji wake uko chini mno kazini na morale iko ndogo sana sababu Yuko double minded .Stress kwake nyingi za kazi na biashara.Wengine hata afya hukongorokaAkili mgando hizo, chungasana ndugu wasijewatoto wako wakajuta kuzaliwa na baba wewe.
Mkuu nimekupa 'like' ila sijasoma madaMkuu Mwenyezi Mungu kaweka mgawanyo wa maisha ili kila binafamu apate riziki Yake na kipato.Kuwa wewe Kama una kipato Cha mshahara Kipato Cha biashara unatakiwa umwachie mwingine.Wafanyakazi wote wakianzisha biashara hao wa mitaani kipato chao watatoa wapi? Mshahara uchukue wewe Banda la mkaa uuze wewe ,genge uuze wewe nk hao wanunuzi wako kipato chao unataka kitoke wapi? Wewe una mshahara kanunue mkaa kwa mwingine asiye na mshahara anayetegemea kipato kwa kuuza mkaa tu
Ukiwauliza wafanyabiashara wengi, watakuambia kwamba siku mishahara ikitoka, wanauza saaana kuliko katikati ya mwezi. Maisha ni kutegemeana wafanyakazi wafanye kazi, na wafanyabiashara wafanye biasharaMkuu Mwenyezi Mungu kaweka mgawanyo wa maisha ili kila binafamu apate riziki Yake na kipato.Kuwa wewe Kama una kipato Cha mshahara Kipato Cha biashara unatakiwa umwachie mwingine.Wafanyakazi wote wakianzisha biashara hao wa mitaani kipato chao watatoa wapi? Mshahara uchukue wewe Banda la mkaa uuze wewe ,genge uuze wewe nk hao wanunuzi wako kipato chao unataka kitoke wapi? Wewe una mshahara kanunue mkaa kwa mwingine asiye na mshahara anayetegemea kipato kwa kuuza mkaa tu
Akili za bata hizi.Wakuu ,
Maisha ya kutegemea mshahara ni ya kitumwa sana.
Mwanaume una mke na watoto halafu huna jinsi yoyote ya kupata pesa eti mpaka mshahara mwisho wa mwezi !
Katikati ya mwezi mifuko imetoboka japo unavaa suti na kujiita baba / mwanaume.
Umeshindwa kuuza mkaa ?
Umeshindwa kuuza ice cream ?
Umeshindwa kuosha magari ?
Umeshindwa kulima , kufuga , kubet ?
Hata kuendesha bodaboda umekwama ?
We wa kazi gani sasa ?
Nikweli,wengi waajiriwa ambao wanavipato vikubwa 10+millions kwa mwezi huwa wanafungua miradi ambayo wao sio wasimamizi,anaweza simamia MTU wa ndani ya familia(mke/mume/mtoto).Yeye akaendelea Ku concentrate na kazi anayo ifanya.
Maisha yasasa ni magumu sana pasipo kutafuta namna ingine yakipato utachekwa