Mwanaume kumtawaza mtoto ni sawa kweli?

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
19,588
25,563
Wakuu hivi ni sawa kweli mwanaume kumtawaza mtoto hasa mtoto wa kiume?

Yani ushike kalio la mwanaume mwenzako kweli? Ushike ile anal ya mwanaume mwenzako kweli?

Hii haipo sawa kabisa akina mama hii ni kazi yenu msiwaachie makaka na mababa kazi hii

Nishashuhudia kesi nyingi mtu anamwambia mwenzake "wewe unajikuta mjanja nishakutawaza sana utotoni huniambii kitu hilo kalio lako nimelichezea sana"
 
Mkuu kama ni mtoto wangu naweza kumtawaza vizuri tu,labda kama ni mtoto wa mwingine ndo itakua ngumu.
 
Nimekumbuka Inspector Haruni Babu
Alipomjibu Mwana FA Kwenye Wimbo Wa Bado Nipo Nipo

Inspector Alisema Mambo Ya Kwenye Ndoa Tuachie Wenye Ndoa,Mengine Unakosoa Naona Yanatuboa.

Suala Unalotaka Jibu Huo Wote Ni Wajibu Wa Wazazi

Afande Sele Alisema
Aliwazalo Mjinga Ndilo Litakalo Mtokea
Ukiwa Na Mawazo Hayo Ni Ujinga Wako
Watu Wamelelewa Na Dada Zao/Kaka Zao

Ila Wanapokuwa Watu Wakubwa Hupewa Heshma Bila Kuongelea Huo Mtazamo Wako
 
wewe unavyo onekana sio baba bado huna mtoto. na kama una mtoto basi huwajibiki kwa mtoto wako.......! Omba Mungu mkeo awe anakaa na mtoto muda wote
 
sawa tu hata sisi tunashika vagina za watoto wetu .. halafu we si mgonjwa unakaribia kufa umesema?
 
Nimekumbuka Inspector Haruni Babu
Alipomjibu Mwana FA Kwenye Wimbo Wa Bado Nipo Nipo

Inspector Alisema Mambo Ya Kwenye Ndoa Tuachie Wenye Ndoa,Mengine Unakosoa Naona Yanatuboa.

Suala Unalotaka Jibu Huo Wote Ni Wajibu Wa Wazazi

Afande Sele Alisema
Aliwazalo Mjinga Ndilo Litakalo Mtokea
Ukiwa Na Mawazo Hayo Ni Ujinga Wako
Watu Wamelelewa Na Dada Zao/Kaka Zao

Ila Wanapokuwa Watu Wakubwa Hupewa Heshma Bila Kuongelea Huo Mtazamo Wako
Kutawazwa na mwanamke sio shida shida kutawazwa na mwanaume mwenzako
 
Wakuu hivi ni sawa kweli mwanaume kumtawaza mtoto hasa mtoto wa kiume?

Yani ushike kalio la mwanaume mwenzako kweli? Ushike ile anal ya mwanaume mwenzako kweli?

Hii haipo sawa kabisa akina mama hii ni kazi yenu msiwaachie makaka na mababa kazi hii

Nishashuhudia kesi nyingi mtu anamwambia mwenzake "wewe unajikuta mjanja nishakutawaza sana utotoni huniambii kitu hilo kalio lako nimelichezea sana"
we ni mtu wa pwani .... tanga, lindi, mtwara..... mila zenu! na hasa wa dini ile! na wewe ni wa dini ile
 
Hayo hutegemeana na jinsi wanandoa wanavyoishi japokuwa mke mwema anaejua majukum kama mke hawezi kumruhusu mme wake amtawaze mwanae wawapo wote nyumbani

Mishe zingine umagharibi unazidi kutugarimu kila kukicha
 
Ndio maana wanaume wengi waliobahatika kusoma sasa wanaenda kuoa mke kijijini ambae anajua majukumu ya mke ktk familia na ambae bado ako na maadili lkn wanawake wenzangu tuliooja kashule duu ni balaa watu wanasahau kazi ya mme ni ipi na kazi ya mke ni ipi na badala yake mtu akisoma tu anadai 50/50 na anazidi kujikita kujilazimisha kusahau majukumu yake kama mwanamke
 
Mkuu wangu, mimi huwa nafua, namlisha, kumuogesha na usafi aina kwa aina. Ukiwa na familia that's not an issue to discuss at all. Ukiwa baba utapata furaha kubwa kabisa.
Hizo kufua ,sijui kupika hiyo kawaida mimi nazungumzia suala la kumtawaza yani baba unamuingiza vidole kweli mtoto wako ili umsafishe ,inaingia akilini kweli hiyo?
 
Back
Top Bottom