Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,447
- 8,723
Haikuandikwa kumtawaza mtoto ni kazi ya mwanamke tu , hivi mkeo anapika wewe upo sebuleni mtoto akijisaidia utamuita mkeo aache kupika amtawaze mtoto?
Makubwaaaaa....... Mkuu wewe ukiwa unatawaza unajiingiza hadi vidole kwa anus??? If not sasa mwanao inakuwaje umtawaze hadi umuingize vidole??? There is sumthing wrong with u haupo sawa mkuu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Hizo kufua ,sijui kupika hiyo kawaida mimi nazungumzia suala la kumtawaza yani baba unamuingiza vidole kweli mtoto wako ili umsafishe ,inaingia akilini kweli hiyo?