Mwananguu wew wadar bila Shaka 🙄🙄🙄🙄Mkuu usishangae,
Kubusiana ni salamu kwa tamaduni za nchi nyingine hasa mashariki ya Kati.
Kwakuwaa we nae ni mwaarabuu cheusi 😏😏😏😏Uarabuni mwanaume kwa mwanaume husalimiana kwa namna ulivyoeleza..
Mimi ni Mwafrika mweusi. Nasalimiana na mwanaume mwenzangu kwa kupeana mikono siyo mashavuKwakuwaa we nae ni mwaarabuu cheusi![]()
Mwananguu wew wadar bila Shaka 🙄🙄🙄🙄
siku shoga akitaka kuniletea useng nitamtandika ngumi hizo.Vijana hawataki kufanya kazi wanapenda maisha mazur matokeo yake ndo hayoNikweli Mkuu,wala hawajakudanganya......maeneo hayo vijana ukiwaona utasikitika sana
Mkuu utamuonea huruma tu na kusikitika huwezi pata hata nguvu ya kumuangalia x2siku shoga akitaka kuniletea useng nitamtandika ngumi hizo.Vijana hawataki kufanya kazi wanapenda maisha mazur matokeo yake ndo hayo
Labda inaweza tokea!! nitamuonea huruma yule mwenye homoni za kike..lakini hawa washenz wengine ambao wanapenda hizo mambo aiseehMkuu utamuonea huruma tu na kusikitika huwezi pata hata nguvu ya kumuangalia x2
Ndio uamini limetokea sasa.Siamini nilichokiona
Leo kidogo nizimie.
Naombeni kuuliza eti ni sawa mwanaume mtu mzima miaka 30 na kuendelea kumkiss mwanaume mwenzake? Nazungumzia zile kiss za left side, right side then mdomoni kidogo? Ni sawa eti
Kwetu wanawake ni kawaida ila hawa wababa kweli kidogo nizimie hapa hata kama nimezaliwa bush sijaelewa hawa watu Hadi kichwa kimeuma.