Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 890
- 2,203
Jana nimetoka out with my friend wa kike, we ordered drinks and food and tulikubaliana tutashare bills, Sasa suddenly my friend wa kike akasema kuna rafiki yangu wa kiume nilisoma Nae anakuja, nikasema okay , kufika alikua ni mwnaume.
Basi tumekaa pale akaorder heinken 7 na sisi we were having two bottles of wine na food Yule Kaka tulivomkaribisha si akashambulia chakula chote, kuku wote kamaliza na chips plate 2 zote kazila Ata kujishtukia hamna, sisi tulikula kidogo sana.
Muda wa kulipa bill mm nikatoa hela nusu, nikashangaa my friend wa kike anamlipia yule mwanaume rafiki yake zile heinken 7 , nikakaa kimya, the guy aka initiate tuhamie sehemu nyingine nikasema okay tukaenda wote, tumefika pale mimi nikatoa pesa ya uber yeye anatoa tu macho, aisee nilimshangaa sana yule mwnanaume, Basi nikakaa kidogo nikaondoka zangu.
Jamani wanaume Ata kama huna hela Basi changia hata kidogo pesa ili muepuke aibu kama hizi Au kama huna kabisa si ulale nyumbani sio lazima kutoka. Na Uyu my friend nimemshangaa kumlipia mwnaume Ivo, khaaaaa.