Kwanza sio tabia nzuri mwanaume kulala kwa mwanamke wake, kwa sisi wamatumbi mara nyingi inaleta maana kama msichana ndo atalala kwa bf wake bwana, kuhusu kulipa kodi kwani ni lazima mpenzi wako akulipie kodi? mapenzi hayahusiani na kodi kabisaaa, if mnapendana kikubwa hapo ni mapenzi then fanya kazi kwa bidii utimize malengo yako, then kama kuku support afanye kwa kupenda, japo pesa kidogo inahusika kwenye mapenzi ila sio lazima kisa analala kwako basi akulipie kodi, kwani na wewe ukilala kwake utamsaidia? Hiyo nayo nikama una mcharge mtoto wa mwanamke mwenzio bana.