Mwanaume kukata kiuno hii ikojee?

Mwanaume kukata kiuno hii ikojee?

amesema akimwambia jamaa akifika ananza kufanya kama panga boy tena.............

Basi kama jamaa hawezi kumuelewa mpenzi wake basi ni bora kuachana nae, mapenzi ni amani ,furaha na si vyema kukaa sehemu ambapo hupati amani.

Namshauri aachane nae kama hataki kumsikiliza.
 
ilikuwa picha ya nini hio suzane
 
picha itakuwa udhalilishaji hapo ushauri wako unatakiwa nini kifanyike
 
Wana MMU habari zenu.
Nijulishen ulazima au umuhimu wa mwanaume kukata kiuno kwenye game . Mim binafsi naona anazingua na kuniondolea mood in short nakereka kwa kweli

Huyo hajui, kama hajui anaweza kukuchefua. Mwambie bora aache kukatika
 
Wana MMU habari zenu.
Nijulishen ulazima au umuhimu wa mwanaume kukata kiuno kwenye game . Mim binafsi naona anazingua na kuniondolea mood in short nakereka kwa kweli

Mpeleke kwa fundi makenika amgongelee bolti kiunoni!!!
 
si bora awe anaelewa sasa hata haelewi
 
Wana MMU habari zenu.
Nijulishen ulazima au umuhimu wa mwanaume kukata kiuno kwenye game . Mim binafsi naona anazingua na kuniondolea mood in short nakereka kwa kweli
We unatakaje, ashindilie tu dushelele?
 
jiulize ni kwanini wadada wengi na wake za watu wanatembea na wale wa kongo wa kinondoni pale?
 
Kukata kiuno ni sawa ila uangalie na mdundo usije ukaenda tofauti na beat, we unazungusha kwenda huku mwenzako kule
 
Back
Top Bottom