Mwanaume kukata kiuno hii ikojee?

Mwanaume kukata kiuno hii ikojee?

Mwanaume hakati kiuno, anatakiwa kubadilisha angle tu ili kugonga kuta za sehemu tofauti kwa muda fulani, kisha anabadili angle na kugonga kuta nyingine, na kuendelea kuingiza na kutoa, bhaaasi. Cha msingi ni ahakikishe kuna friction kubwa na ukuta unaogongwa. Sipati picha, akikatika, anafanya hivyo ili iweje! Naona wanaume wengi waliochangia humu wanachanganya kati ya kukata kiuno na kubadilisha angle. Hivi mnajua kukatika ni nini? Akikatika inakuwaje?
 
Positive Thinker Alafu MankaM Hivi Unadhani Dushelele Inachomekwa Sehemu Moja Lazima Uizungushie Kwenye Ukuta Wa Papuchi Ili Uzidi Kunogeshwa Au Haujui Mchezaji Mpira Ni Yule Anayejua Kupiga Chenga Nyingi Ili Aweze Kufunga Magoli Mengi
 
Last edited by a moderator:

Kwaio unataka kusemaje labda sijakuelewa
 
Last edited by a moderator:
Umenikumbusha rafiki yangu mmoja mchimba Tanzanite alipata demu wakiwa kitandani demu akaanza kukata kiuno.Basi jamaa akamwambia tigirai yaani tulia kwa kimasai.
Nani menunulia wowe nyama?
Manzi akamjibu wewe.
Jamaa akamuuliza nani menunulia wowe nyumba (chumba)?
Manzi akajibu wewe.
Nani memupa wowe mbesa?
Akamjibu wewe.
Sasa kwanini wowe nafanya mimi?
 
Wana MMU habari zenu.
Nijulishen ulazima au umuhimu wa mwanaume kukata kiuno kwenye game . Mim binafsi naona anazingua na kuniondolea mood in short nakereka kwa kweli

Tatizo nini utamu hupati au? Huo ni kuonyesha anauwezo wa kumudu game,Anakukucha,anakupindisha,anaswing na mengineyo teh lazima umuulize mtarudia lini mama
 
Wana MMU habari zenu.
Nijulishen ulazima au umuhimu wa mwanaume kukata kiuno kwenye game . Mim binafsi naona anazingua na kuniondolea mood in short nakereka kwa kweli
Kukata kiuno kwa mwanaume ni natural lakini mwanamke ni artificial. Ukitaka kujua angalia wanyama wanapofanya mavituzi yao...kama ng'ombe, mbuzi, kondoo, paka, mbwa, nguruwe nk. Hawa wote madume ndiyo yanakata kiuno na majike yanatulia tuu. Kwa binadamu nayo inatakiwa iwe hivyo lakini kwa vile mwanandamu huwa anajaribu kila kitu ndiyo maana haya yote yanatokea. Otherwise pole sana MankaM

Wana MMU habari zenu.
Nijulishen ulazima au umuhimu wa mwanaume kukata kiuno kwenye game . Mim binafsi naona anazingua na kuniondolea mood in short nakereka kwa kweli

Sio muda mrefu kuna thread imeanzishwa wanaume wanazungumzia wanawake tu humu JF, sasa hii vipi? inaondoa kabisa claim ya ile thread.

Mwanaume anatakiwa ku-pump na sio kukata kiuno ata kama anakwangua kuta lazima afanye hivyo kwa ku-pump. Kwanza hivi inawezekana kweli wewe ukate kiuno na yeye tena? Mpatie feedback kuwa enjoyment inakuwa juu aki-pump kuliko wiggling!! Au fanya hivi yeye akikata kiuno wewe pump!!!
 
Wana MMU habari zenu.
Nijulishen ulazima au umuhimu wa mwanaume kukata kiuno kwenye game . Mim binafsi naona anazingua na kuniondolea mood in short nakereka kwa kweli
Halafu unaitwa Manka,sishangai wewe kushangaa
 
Wana MMU habari zenu.
Nijulishen ulazima au umuhimu wa mwanaume kukata kiuno kwenye game . Mim binafsi naona anazingua na kuniondolea mood in short nakereka kwa kweli

Ila nasikia kina Manka wengi hawawezi kukata kiuno!!!
 
Back
Top Bottom