Sarafina1
Senior Member
- Mar 28, 2011
- 153
- 85
Wanaume mnaojiliza liza kama wanawake mnaboa sana, mnapiga mizinga kiasi kwamba mmetuzidi mpaka wanawake, mwanaume kama huna hela unatakiwa uonyeshe kwa vitendo na si kujiliza liza kama mmama, jikaze wewe mtoto wa kiume. Uko wapi uanaume wenu? mwakera sana ati