Tayari ilikuwa red flag ya kutosha kuwa kuna tatizo, mwenzio ni mbinafsi, so ulitakiwa tu upime kwamba unaweza kuishi na mtu mbinafsi au laah. Inatokea kwa watu wengi tu, unaona red flags mapema but unapuuzia au ndo kujipa moyo kuwa atabadilika mbeleni, tena ndo ukishatangaziwa ndoa unasahau na kila kitu afu soon after ndoa ndo majuto kama hivi. Anyway ndo mumeo tayari, omba tu Mungu akupe neema ya kuishi naye, inauma ndiyo but ndo utafanyaje. Kama una kazi yako basi jihudumie tu mwenyewe upendavyo. And please mzae watoto utakaoona unaweza kuwatunza, maana kama ni mbinafsi hadi kwa mtoto, basi jua jukumu la kutunza watoto ni lako 100%.Alijijal pekee,mtoto ni mmoja 2 lakn kama watatu
Kukuoa akuoe, Mahari akulipie, Unyumba na raha ya usiku akupe...na bado nguo akununulia...aroooo we umekuwa nini???Habari?
Jaman hivi inakuwaje mwanaume kakuoa, ila hajawah fikiria kukununulia mahitaj yako kama mavazi na vingne muhmu kwa mwanamke, au ukimuomba hela anakasirika pengne msiongee hata week nzima.
Ila sasa yeye anajijali mwenyewe, kama mavazi atanunua yeye kama yeye, kwa kifupi anajiangalia peke yake.
Kiukwel nashndwa kumuelewa, hivi huyu anafaa kweli kuwa mume au?
Embu nisaidieni.
Kama si mume wako, Ni sahihi kufanya hivoHabari?
Jaman hivi inakuwaje mwanaume kakuoa, ila hajawah fikiria kukununulia mahitaj yako kama mavazi na vingne muhmu kwa mwanamke, au ukimuomba hela anakasirika pengne msiongee hata week nzima.
Ila sasa yeye anajijali mwenyewe, kama mavazi atanunua yeye kama yeye, kwa kifupi anajiangalia peke yake.
Kiukwel nashndwa kumuelewa, hivi huyu anafaa kweli kuwa mume au?
Embu nisaidieni.
Basi ndo ulichokosea...zungumza nae taratibu atakuelewa.Nildhan atabadilika
Wewe ni me? Naomba kabla hujazalisha....Fanya kwanza kile unachotaka ufanyiwe na usimtendee mtu kitu usichopenda kutendewa, It begins with u