Kuna mtu hapa kwenye viti virefu anajipongeza kwa kujenga nyumba mwaka 2012 na anakribia kuhamia kwenye kiwanja cha mkewe Mbweni Hukooo! Anadai sio nyumba ila Jumbaaa!
Hivi kweli nyie Men of Today ni busara hiyo kujenga kwenye kiwanja cha mkeo cha zawadi ya harusi? Ukute hati ya kiwanja iko kwa baba mkwe! Mnakoelekea i can oly pray for you!
Ni mjadala mkali sana lakini hata usipojenga kwenye kiwanja siku mkiachana mtagawana hiyo nyumba mliyojenga kwa pamoja.
Mh kwa hawa wanawake wa Kilewo? Aandike maumivu, nina kesi mbili zenye material facts kama hii, ninahangaika nazo mahakamani ila jamaa bora akae kimya maana siku mke akimuamulia ndio atajuta.
Kwanza haileti heshima ukweni unakuwa kama umeolewa.