Mwanaume Kujenga Nyumba Kiwanja cha Mwanamke!!!!! Ni busara kweli?

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,700
29,111
Kuna mtu hapa kwenye viti virefu anajipongeza kwa kujenga nyumba mwaka 2012 na anakribia kuhamia kwenye kiwanja cha mkewe Mbweni Hukooo! Anadai sio nyumba ila Jumbaaa!

Hivi kweli nyie Men of Today ni busara hiyo kujenga kwenye kiwanja cha mkeo cha zawadi ya harusi? Ukute hati ya kiwanja iko kwa baba mkwe! Mnakoelekea i can oly pray for you!
 
I miss you, napita
 
Mbona kawaida sana hyo ila mwenye hati ndo mwenye property na ndo mjanja
 
Ni mjadala mkali sana lakini hata usipojenga kwenye kiwanja siku mkiachana mtagawana hiyo nyumba mliyojenga kwa pamoja.

Sasa bora hiyo mnayojenga pamoja, mtagawana ila hii ya kiwanja cha kwake naona hutopata kitu kabisaaaaa, hata tofali moja la fidia! Sijui lakini!
 
si busara bana labda unamsaidia tu mkeo kujenga , zawadi ya mke haiwezi kua ya familia labda anunue aseme cha familia hivyo kibadilishwe hata hatimiliki
 
kama mpo kwenye ndoa haina shida kwani itahesabika miongoni mwa mali mlizochuma. Ila kama ndo small house count imekula kwako
 
Mh kwa hawa wanawake wa Kilewo? Aandike maumivu, nina kesi mbili zenye material facts kama hii, ninahangaika nazo mahakamani ila jamaa bora akae kimya maana siku mke akimuamulia ndio atajuta.

Kwanza haileti heshima ukweni unakuwa kama umeolewa.
 
Sema wewe kiazi, mimi Muhogo naambiwa na mzizi kati kati!
 
Sioni tatizo hapo. If anything it's an ideal situation. Kiwanja changu, nyumba ajenge yeye hata ugomvi ukitokea huwezi kusema "toka nyumbani kwangu!!". Jokes aside, ukiingia kwenye ndoa ukifikiria kuachana basi inawezekana mtaachana tu. na ikitokea mkaachana unauza nyumba na eneo mnagawana$$ simpo.

Kuna mtu hapa kwenye viti virefu anajipongeza kwa kujenga nyumba mwaka 2012 na anakribia kuhamia kwenye kiwanja cha mkewe Mbweni Hukooo! Anadai sio nyumba ila Jumbaaa!

Hivi kweli nyie Men of Today ni busara hiyo kujenga kwenye kiwanja cha mkeo cha zawadi ya harusi? Ukute hati ya kiwanja iko kwa baba mkwe! Mnakoelekea i can oly pray for you!
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom