Mwanaume kufuga kucha ni urembo pia?

Mm kiukwel nachukia mwanaume anayefuga kucha,yan nlkuwa na boyfrnd anafuga vidole vya mwsho kulia n kushoto kla cku nlkuwa nampa risala hadi akaacha..mwanaume hapendezi na kucha,khaaaa!!
 
hivi wanaume kufuga kucha za mikono kunamaanisha nini...?
hasa kucha ya kidole cha mwisho au kidole gumba .....
 
Ni dalili ya ushoga. Nilikuwa na bado ninaye rafiki yangu....Yeye alianzaga ujinga huu huu wa kufuga kucha na kuna watu walisema jamaa atakuwa shoga tu kwani ile ni ishara fulani kwao mimi nikabisha. Siku ya siku nikambamba ananyonya nanihii ya mshikaji fulani ambaye alikuwa rafiki yetu, nikashituka sana na kuchanganikiwa ila nikamezea bila kumwambia mtu na nikaanza kumchunia kiaina. Baada ya muda akaja kukamatwa Namanga analiwa uroda kwenye gari akiwa safarini Kenya. Walishindwa kuvumilia ikabidi wa park gari sehemu na kushindiliana midude. Kwa sasa jamaa ni bonge la shoga hapa Dar.
 
Atakuwa mrimbwende huyo bro, but inanoga zaidi km akiwa anazipaka na rangi, asisahau kutunda nyusi tu.
 
Habari ya mapumziko ya wikiend wakuu,

Samahani labda pengine ushamba unachangia ufugaji wa kucha kwa mwanaume ni urembo pia? Maana nilishawahi muuliza dad mmoja matumizi ya kucha kwa wanawake maana wao kwa kiasi kikubwa wanafuga akaniambia ni urembo lakini pia zinafanya kazi maalumu chumbani eti kuamsha hisia za mwanaume, sasa kwa mwanaume zina kazi gani maana nimeona baadhi ya mwanaume wakifuga hasa mkono wa kushoto kidole cha mwisho, nao ni urembo? Au nao wanafuga kwa kazi maalumu?
 
Sio urembo
Ni ujinga
Kucha zinafuga uchafu hilo halina ubishi
Hao wanaosema eti kina kazi kwenye MAPENZI huwa naona ni utoto na ujinga
Yaani kweli tunakuwa wadhaifu iv kwenye MAPENZI kiasi cha kubadili kazi ya organ za mwili... Mimi binafsi zishauri ufugaji wa kucha kwa mwanaume sambamba na uvaaji wa mabangili mikufu makacha
 
mimi ninashida naomba mnielekeze jinsi ya kuanzisha topic natamani kupost yangu
 
Back
Top Bottom