Mwanaume kufa mapema

Mwanaume kufa mapema

Sio kweli..Tunaziwahi neema za mbinguni..Nyie enedeleeni kubaki tu..Mwisho wa siku mje kuishi kwenye nyumba za udongo mbinguni
Hahaha dah! Badass comeback bro. Tunatangulia kuwaandalia makazi.
 
Ulevi,majukumu mengi yanayopelekea msongo wa mawazo,kazi ngumu,kujikaza na kupotezea maradhi..labda na ugumu katika kusamehe.
 
Wa kwanza ni mie, tunaishi na mama tu baba alifariki years ago, marafiki zangu wengi wanaishi na mama zao pia baba wamefariki mpendwa hii kitu ina ukweli wala sio uongo
Pole mpendwa. I see where you're coming from, ila ngoja nikupe perspective nyingine. Kipindi cha kampeni, tuliona mafuriko kwenye picha na tv, right? Ila zilivyokuja numbers mwisho wa mchezo, habari ikawa tofauti. Do you get my point?
 
Ila uzuri wanaenda mbinguni direct maana kama
kuna amateso wameshamaliza hapa hapa duniani.
 
Sio kweli..Tunaziwahi neema za mbinguni..Nyie enedeleeni kubaki tu..Mwisho wa siku mje kuishi kwenye nyumba za udongo mbinguni

Sio hivyo.......wa kwanza kuja......wa kwanza kuondoka.......FIFO.........
 
Pole mpendwa. I see where you're coming from, ila ngoja nikupe perspective nyingine. Kipindi cha kampeni, tuliona mafuriko kwenye picha na tv, right? Ila zilivyokuja numbers mwisho wa mchezo, habari ikawa tofauti. Do you get my point?

Mpendwa usinikumbushe uchaguzi, picha ya lubuva inakuja mbele yangu wakati nshaanza kumsahau....mmh sijakupata fresh
 
Ungekuwa karibu yangu leo ninge kununulia Makange
maana umeongea kwa hekima na taadhima, umegusa
hadi maini ya ndani kabisaaa....

Wanaume wanafanya kazi nzito jamani...
Wengine wanateseka wanalea familia huko mke hamjali mume wake ikiwa kumpikia vizuri.. kumpeti peti... sasa kwa kazi wanazofanya wakikosa faraja mwili unadhoofika sana huku sisi tunanenepeana tuu..mwanaume anaumwa mwanamke hajali wala nini ndio kwanza anadai hela..mwanaume anakosa pa kupumzikia kila siku mawazo majukumu yote ya mke na watoto juu yake ya wazazi wake juu yake huku mwanamke unamdharau mume wako.. hamna siku hata moja inapita hujamkwaza. Anawaza hadi damu za pua bado hatujali...
KUNA BAADHI YA WANAWAKE NI WAUWAJI.. nimekumbuka kisa kimoja acha kabisa.
MWANAMKE UNAYETAKA MUME WAKO AISHI MUDA MREFU MLEE WATOTO WENU PAMOJA...
..shirikiana nae kila jambo ..mfariji pale anapokata tamaa mpikie vizuri ale ashibe mpe haki yake...usimruhusu mume wako awaze mawazo tofauti ya kumuumiza..SASA WEW MTESE AFE NJAA NA MAWAZO HALAFU ULIE LIE
 
Last edited by a moderator:
Kuna researches nyingi nimewahi kuzisoma zinaelezea hili la wanaume kuwahi kufa kabla ya wanawake, siyo tu kufa bali hata kuzeeka kimwili. Yaani utakuta mke & mme wamepishana miaka michache lkn ukiwatazama unaweza dhani mke ni 1st born wa mme!
 
Ungekuwa karibu yangu leo ninge kununulia Makange
maana umeongea kwa hekima na taadhima, umegusa
hadi maini ya ndani kabisaaa....

Wooh!!! Kuna siku nitakuwa karibu..hiz ofa sio za kukosa
 
Last edited by a moderator:
Ungekuwa karibu yangu leo ninge kununulia Makange
maana umeongea kwa hekima na taadhima, umegusa
hadi maini ya ndani kabisaaa....

Wooh!!! Kuna siku nitakuwa karibu..hiz ofa sio za kukosa makange ni nn lakin?
 
Last edited by a moderator:
Wanaume wanafanya kazi nzito jamani...
Wengine wanateseka wanalea familia huko mke hamjali mume wake ikiwa kumpikia vizuri.. kumpeti peti... sasa kwa kazi wanazofanya wakikosa faraja mwili unadhoofika sana huku sisi tunanenepeana tuu..mwanaume anaumwa mwanamke hajali wala nini ndio kwanza anadai hela..mwanaume anakosa pa kupumzikia kila siku mawazo majukumu yote ya mke na watoto juu yake ya wazazi wake juu yake huku mwanamke unamdharau mume wako.. hamna siku hata moja inapita hujamkwaza. Anawaza hadi damu za pua bado hatujali...
KUNA BAADHI YA WANAWAKE NI WAUWAJI.. nimekumbuka kisa kimoja acha kabisa.
MWANAMKE UNAYETAKA MUME WAKO AISHI MUDA MREFU MLEE WATOTO WENU PAMOJA...
..shirikiana nae kila jambo ..mfariji pale anapokata tamaa mpikie vizuri ale ashibe mpe haki yake...usimruhusu mume wako awaze mawazo tofauti ya kumuumiza..SASA WEW MTESE AFE NJAA NA MAWAZO HALAFU ULIE LIE

Nakubaliana na wewe kuna wanawake pasua kichwa nao huwaongezea wanaume stress badala ya kuwapa faraja kwa majukumu mazito pia asilimia kubwa ya wanawake huwapa wenzi wao malibwata ambayo hugeuka sumu.
Pia kazi ngumu zenye risk kwenye maisha. Wanawake jitaidini kuwakea waume zenu
 
Back
Top Bottom