Mwanaume kufa mapema

Mwanaume kufa mapema

Nakubaliana na wewe kuna wanawake pasua kichwa nao huwaongezea wanaume stress badala ya kuwapa faraja kwa majukumu mazito pia asilimia kubwa ya wanawake huwapa wenzi wao malibwata ambayo hugeuka sumu.
Pia kazi ngumu zenye risk kwenye maisha. Wanawake jitaidini kuwakea waume zenu

Kuna dada mmoja rafik yangu mume wake anafanya kazi nzito acha kabisa..basi mume akurudi nyumbani anakuta mwanamke hajapika anamsubiri akanunue chips wale walale..nimemshauri mara kibao lakini wapi..hiyo siku nikakuta yeye anakula chips mume yupo jikon anajipikia hadi nilitamani kulia..kwa nini mtu umtese mume wako hivyo duuuh
 
Huyo ana mumaliza mumewe kitaratibu aisee chips yai na kazi ngumu wapi na wapi,. Kuna mmama kafiwa na mumewe kisa alikua hamjali kwa msosi matokeo yake akapatwa matatizo. Wanaume inabidi wawe makini kwenye kutafta ukipata asiye mwelewa ndo basi tena maisha magumu,stress hafu kukosa mfariji
 
Ze thread is closed

Khaaaaaaaaaaaaa
tehe tehe tehe
Hili jamvi lina mambo sana.
Ndo maana firewall zilivamiwa juzi kipindi cha uchaguzi kwa sababu ya siredi kama hizi za maswali tete. Si ndio salt salt?
 
Huyo ana mumaliza mumewe kitaratibu aisee chips yai na kazi ngumu wapi na wapi,. Kuna mmama kafiwa na mumewe kisa alikua hamjali kwa msosi matokeo yake akapatwa matatizo. Wanaume inabidi wawe makini kwenye kutafta ukipata asiye mwelewa ndo basi tena maisha magumu,stress hafu kukosa mfariji

Hivi alilia kweli??? Maana ni aibu jamani lol..
Sometimes tuna roho ngumu dear acha kabisa
 
Msongamano wa mawazo nao huchangia wanaume kufa haraka, wanaume wana mambo mengi kuliko wanawake
 
Pamoja na sababu hizo nzuri na nyingi walizo toa wadamu, nyingine ni kukosa kiasi katika tendo la ndoa/ ngono kwa wanaume wengi. Hivyo kudhoofisha moyo na ubongo. Kinachofuatia ni kifo kabla ya muda wake.
 
hawa wa siku hizi wafe tu hamna nna nyingine kazi hawafanyi sio chumbani sio za uchumi wapenda chips tu
 
Shauri wana zambi nyingi sana.........wanawake wana dhambi chache ambazo nazo zinasababishwa na wanaume.......
Zambi......
Dhambi........
hapana creta..ukizaliwa mwanaume mawazo mawazo kuhangaika.
 
a6wyyzL_700b.jpg
 
Hivi ni kwann wanaume wengi hutangulia mbele za haki kuliko wanawake?

kawaida mwenye umri mkubwa ndo anaetangulia kaburini,ndomana wazee ni 1% ya wabongo..+kwenye mishe wengi wanaume,ajal na vitu kama hvo vnasaidia kuwapunguza
 
Back
Top Bottom