Mwanaume kubeba mimba

Mwanaume kubeba mimba

Wahuni nao ni watu.

Ulinapoleta jambo humu ndani basi tegemea kupata michango tofauti iwe Negative au Positive.
Kinyume na hapo basi print ubandike Gheto kwako usome mwenyewe.
Hatukatai kuja kwa michango negative, lakini tuangalie na lugha tunayotumia.
Ndiyo maana jf wakaweka utaratibu wa kugawa majukwaa, kwamba kitu fulani kinaweza kuongelewa sehemu fulani na kitu fulani hakipaswi kuongelewa sehemu fulani.
Siku hizi jukwaa hili nalo limekuwa kama jukwaa la chit chat au la jokes.
Tujitafakari upya.
 
Wahuni nao ni watu.

Ulinapoleta jambo humu ndani basi tegemea kupata michango tofauti iwe Negative au Positive.
Kinyume na hapo basi print ubandike Gheto kwako usome mwenyewe.
Kwaiyo ndugu,mtu kutype neno mahala hapa kama vile unaf@@r ww, hii nayo tuipokee tu kwa Moyo mmoja et kwamba ni matazamio negative ambayo ni kawaida kwa jf
 
Comments za wachangiaji zinatosha kuonyesha kuwa Jf imepoteza credibility, sio Jf ile tena ambayo ilikuwa kisima cha maarifa na ushauri wenye tija! Kwani kuna shida gani mtu ukipita kimya kama hauna ushauri juu ya kilichoulizwa, je ni azima kukoment ujinga ili uonekane upo? Badilikeni wadau ama nendeni huko fb ndio pamejaa jamii ya vilaza. Asante
Kuna kitu kinaitwa aibu za kiume! Yaani jambo ambalo hata kwa kisu huwezi mhadithia mwanaume mwenzako. Unatoa wapi ujasiri wa kueleza ndoto ati una mimba? Huwezi kuota kitu ambacho hujawahi kukifikiria! Tuangalie nini tunaandika na mengine si lazima uyalete katika hadhira hii!
 
No ni jambo ambalo sio LA kawaida inabidi upate mawazo ya watu kulikalia kimya sio utatuzi wala ujasiri unaouzungumzia wew ujasiri ni pale unapoweka jambo hadharani kuhitaji msaada na sio kujificha
 
Kuna kitu kinaitwa aibu za kiume! Yaani jambo ambalo hata kwa kisu huwezi mhadithia mwanaume mwenzako. Unatoa wapi ujasiri wa kueleza ndoto ati una mimba? Huwezi kuota kitu ambacho hujawahi kukifikiria! Tuangalie nini tunaandika na mengine si lazima uyalete katika hadhira hii!
"Huwezi ota kitu ambacho hujakifikiria" mkuu ajabu liko hapo ndio maana kaona si jambo la kawaida ashirikishe watu. Yeye imemtokea
 
Wengi hapa hawana utashi wa ndoto.
Tena hapa hawana lolote zaidi ya jokes.
Kwa uzoefu wangu ndoto kama hii huenda inamaanisha soon utapata mapacha kwa mwanamke wako kama unaye.. au kuna jambo litatokea kwenye maisha yako.

Mshanajr
 
Kuna kitu kinaitwa aibu za kiume! Yaani jambo ambalo hata kwa kisu huwezi mhadithia mwanaume mwenzako. Unatoa wapi ujasiri wa kueleza ndoto ati una mimba? Huwezi kuota kitu ambacho hujawahi kukifikiria! Tuangalie nini tunaandika na mengine si lazima uyalete katika hadhira hii!
Jamaa sio wa kiume ni mwanaume, wewe kama ni wa kiume na unaona aibu ni sawa ila kama ni mwanaume na una aibu, sina la kusema zaidi ya holalaaaa
 
Wahuni nao ni watu.

Ulinapoleta jambo humu ndani basi tegemea kupata michango tofauti iwe Negative au Positive.
Kinyume na hapo basi print ubandike Gheto kwako usome mwenyewe.
Kutoa matusi ama lugha zisizo na staha ilikuonekana mjanja/ muhuni ni ujinga.
 
Mtoa mada hiyo ndoto yako inaweza kuwa ni ya kawaida tu au isiwe ya kawaida nasi kila ndoto unayoota basi ikakulenga wew yawezekana unachokiota kikawa ni kwaniaba ya mkeo kama unae,Tatizo ni hiyo mikia ya hivyo viumbe yawezekana kukawa na ushirikina ndani yake
 
Nafikiri ni ndoto tu ya kawaida nikimaanisha, kuota ni kitu cha kawaida ila yawezekana pia ktk maisha yako ya kawaida umekuwa ukiwaza sana mambo ya ujauzito. Labda una hamu ya kupata mtoto au labda una scenario za mwenza wako hapati mtoto, binadamu tuna tabia ya kuota mambo ambayo wakati hatujalala tunayawaza sana.
 
Hope upo serious ktk hilo ulilolieleza hapa. Mara nyingine mimba huonesha kuwa umebeba maono au vision fulani ndani yako ambayo bado haijafanyiwa kazi yaani bado iko ndani yako. Ni muhimu kuomba kujua umebeba nini na lini unatakiwa ufanyie kazi hicho ulichobeba. Kinyume na hapo jaribu kucheki mawazo yako huwa muda mrefu unawaza nini
 
Comments za wachangiaji zinatosha kuonyesha kuwa Jf imepoteza credibility, sio Jf ile tena ambayo ilikuwa kisima cha maarifa na ushauri wenye tija! Kwani kuna shida gani mtu ukipita kimya kama hauna ushauri juu ya kilichoulizwa, je ni azima kukoment ujinga ili uonekane upo? Badilikeni wadau ama nendeni huko fb ndio pamejaa jamii ya vilaza. Asante
Its true,JF has lost direction nowadays,ndio maana wegi wamebakia kuwa wasomaji kuliko kuchangia...
 
Ndoto zina maana nyingi, pia yanaweza yakawa maono wasubiri wataalam akina Mshana watakujuza
 
Nimekumbuka niliona video mwanaume anajifungua kupitia tundu ya uume na ukachanwa mtoto akapita. Sikuimaliza nikaifuta maana sikujua ni kweli au imetengenezwa ila kilikua ni kitu kinachoogofya sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom