Mwanaume kubeba mimba

faru john junior

JF-Expert Member
Dec 26, 2016
1,596
1,717
Habari za asubuhi mabibi na mabwana. Kichwa cha hbr cha husika.
Naombeni msaada, usiku wa kuamkia Leo kuna jambo limenitokea ambalo nashindwa kbsa kulielewa japo sio Mara ya kwanza ni Mara ya pili sasa. Jambo lenyewe liko hivi
Usiku nimeota kuwa nimebeba mimba yaani ni mjamzito tena cha kushangaza kbsa mimba mapacha ilihali mm ni jinsia ya kiume. Hili jambo limenisikitisha kabsa mpka na kukosa usingizi baada ya kushtuka kutoka usingizini
Ndoto hii ilinikuta majira ya saa kumi alfajiri ya kuamkia Leo. Kimsingi ndoto ya aina hii ilishawahi kunitokea mwaka juzi miezi kama hii lakini mwaka huo ndoto haikuwa ya mapacha nilichukulia kama jambo LA kawaida tu kuota lakini Leo limenishtua sana sijui kwa nini. Ikiwa usiku naota niligusa tumbo nikakuta kitu kimetuna ambacho kinacheza, Mara nikajikuata Niko wodi ya wazazi huku hao mapacha wakicheza na wale wamama pale wodin wakasema mimba yangu ni mapacha
Lakini cha kushangaza ni pale wanapocheza wanatoa mikia nje ya tumbo ndipo niliposhtuka na kujiuliza ni viumbe gani hawa ndani ya tumbo langu kama ni watoto wa kawaida inakuwaje wanamikia? Kiukweli niliogopa sana ndipo usingizi ukashtuka kutoka usingizini. Binafsi nahisi sio jambo LA kawaida kwa mwanume kuota ndoto za aina hii. Nahisi ni jambo LA kiiman zaidi
MSAADA. Najua humu jf kuna wajuvi wenge wa haya mambo wenye uwezo wa kutafsiri ndoto wanisaidie na kuniondolea hofu kama kuna jambo linaloendelea pasipo mm kujua mpka sasa nawaza sipata jibu hasa ni kitu gani kinachoashiria ndoto za aina hii hasa kwa jinsia ya kiume ingekuwa wa kike may be ingesound kidgo sasa wa kiume?mmmmmh hapna NAOMBENI MSAADA
 
Mkuuu mara nying wanaotaga hvyo wanakuaga mapunga sasa cjui ww una element zp yan n ngum mtoto wa kiume kuota hvyo ni sawa na dem kuota anamgegeda m2 but ngoja wataalam waje kushaur
 
Comments za wachangiaji zinatosha kuonyesha kuwa Jf imepoteza credibility, sio Jf ile tena ambayo ilikuwa kisima cha maarifa na ushauri wenye tija! Kwani kuna shida gani mtu ukipita kimya kama hauna ushauri juu ya kilichoulizwa, je ni azima kukoment ujinga ili uonekane upo? Badilikeni wadau ama nendeni huko fb ndio pamejaa jamii ya vilaza. Asante
 
Usiwaze mkuu, naona watu wanakushambulia sana but usiichukulie serious sana, utapata madhara makubwa kisaikolojia. Kama uliwahi kuota, unapaa nk na uka'take easy.. hata kwa hii, tekilizi man.
 
Comments za wachangiaji zinatosha kuonyesha kuwa Jf imepoteza credibility, sio Jf ile tena ambayo ilikuwa kisima cha maarifa na ushauri wenye tija! Kwani kuna shida gani mtu ukipita kimya kama hauna ushauri juu ya kilichoulizwa, je ni azima kukoment ujinga ili uonekane upo? Badilikeni wadau ama nendeni huko fb ndio pamejaa jamii ya vilaza. Asante
Mkuu, jf kumejaa wahuni wahuni tu siku hizi.
 
Inasikitisha sana mkuu. Hili swala kuna mtu amelifungulia uzi wa malalamiko lkn naona mods wameupoteza. Sijui tatizo liko wapi, kuna watu wamekata tamaa hata majibu yao yanaonyesha kbs!
Watu wataanza kukaa na mambo yao vifuani maana wanajua wakileta hapa hawatapata chochote zaidi ya kejeli tu. Jf itakuwa sehemu ya kupiga porojo tu na si sehemu ya kujifunzia kama ilivyozoeleka.
 
Jf umejawa na watoto wadogo mno saivi hasa nyakati hizi,
Watu wanakosa maarifa kabisa.mleta madam yuko seriously lakini comment za ajabu ajabu duh!
Inasikitisha sana mkuu. Hili swala kuna mtu amelifungulia uzi wa malalamiko lkn naona mods wameupoteza. Sijui tatizo liko wapi, kuna watu wamekata tamaa hata majibu yao yanaonyesha kbs!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom