Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,823
- 168,044
- Thread starter
-
- #141
Afadhali hao wa castle light, wanaboa zaidi wale wa savanna na redds, huwa najiulizaga, tatizo ni nini?...na seriously mwanaume hanywi castle lite!
...samahani lakini!
Nanyi mnawatazama tu?kama umekosa mpige hata na mwiko kichwani.Mbona ipo hiyo tayari ya kunyang'anyana make up dukani.
Mkuu ukiacha mashoga haaa wwngine wote pia ni wala papuch tuuu....mkuu acha wajichekeche wenyewe tubaki wenyewe tule papuchi kwa mafungu.si tupo wachache bidhaa inapokuwa chache hutafutwa kwa uhitaji mkubwa.
Kweli mkuuu,Nashukuru Mleta mada umekuja na bandiko lenye mashiko juu ya sisi wanaume Naumia sana nionapo mwanaume wanavaa vinguo vya kubana mapaja na kutumia vipodozi vya kike lkn nashukuru me umri wangu ushaanza kunitupa mkono now
Khaaaah eti "mpige hata na mwiko kichwani" itabidi tuanze kutembea na miko kwenye mikoba.Nanyi mnawatazama tu?kama umekosa mpige hata na mwiko kichwani.
Si ndio silaha zenu za karibu hizo kiukweli wanatudhalilisha sana nampongeza sana mleta uzi je weye utakubali kuwa na mtu ambae haelewiki?Khaaaah eti "mpige hata na mwiko kichwani" itabidi tuanze kutembea na miko kwenye mikoba.
Chukueni hatua muokoane, la sivyo hali si hali, kwa umbea,majungu na upashukuna sasa ndio mweeeeeh!! Yaani sijui tuelekeako itakuwaje.Si ndio silaha zenu za karibu hizo kiukweli wanatudhalilisha sana nampongeza sana mleta uzi je weye utakubali kuwa na mtu ambae haelewiki?
Nyinyi ndio muongoze vita khasa kwa hilo la kujioa cha muhimu tushirikiane ili mapambano yazae matunda inasikitisha sana graph ya wanamume inashuka kwa kasi ya usein bolt.Chukueni hatua muokoane, la sivyo hali si hali, kwa umbea,majungu na upashukuna sasa ndio mweeeeeh!! Yaani sijui tuelekeako itakuwaje.
Watu wenyewe mko wachache alafu tena bado eti ndsni yenu kuna wanawake[emoji134] [emoji134] sasa mnataka tujiwowe!!
Hahaa we noumaYaan lile jina la umalaya kwa wanawake ni nafuu,wanaume Malaya nyie hadi mnagongwa kama wanawake hhhaaaa
Mungu wangu okoa kiumbe uyuHahahahaha natafuta mwanaume wa kunipa dudu aiyaa njooni mnipige na mwiko kichwani
Jamani..... Nyie wabaya. Kwanini mlimcheka mwenzenu [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]ila haka ka wanaume kuvaa chupi za wake zao kapojeeeeeee maana kamezidi vile majuzi kuna workmate ile kuinama kajipigilia kufuri la mke wake wote chekooooooooo
Kazi kupiga picha na magari ya wenzao....... [emoji31] [emoji31]Kazi kupiga picha na magari ya wenzao........waende zao huko
Sio mbaya kupiga picha labda useme kuna aina za picha hupendi mwanaume apige.Alafu hizi tecs au apps hazipo kwa ajili ya jinsia moja tu.Mwanaume Busy ukiamka ukilala instagram na facebook kutupia vipicha vya selfie
na wanaogopa majukumu kinoma,ila papuchi hawazigopi.Mkuu ukiacha mashoga haaa wwngine wote pia ni wala papuch tuuu....
Haaaa haa ila wanaakili mnoo...maaana wanapata papuch bila nguvu kubwana wanaogopa majukumu kinoma,ila papuchi hawazigopi.