jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,957
- 9,431
Mwanaume mzima unaikiimbiaje familia yako na kuiaacha bila ramani yoyote ile kisa Maisha magumu!? Kuna watu humu wako na familia tu,lakini ile Bond hakuna kabisa, na hii ni hatari sana, maana mmoja akipata hata mchongo wa kutoa msukule kisa apate pesa,anakutoa faster mbona!!Huo ushauri wako mtoa mada wa kifa.la sana. Kuna shemeji yangu mmoja alikuwa anamkataza mkewe kufanya kazi yoyote, ila sasa hali ikiwa mbaya nyumbani anatafuta safari anaacha mkewe anahangaika na watoto. Baadae walikorofishana na mkewe akaenda kukaa kwenye nyumba yao nyingine, watoto wakawa wanapenda kwenda kule maana akiwa na hela kunakuwa na mapochopocho kama yoteila siku akiishiwa hela anasafiri kimya kimya anawaacha watoto wanashangaana




