Mwanaume kimbia

Mwanaume kimbia

Vilaza mbona mmeshindwa kuelewa kabisa mada
Kama tatizo ni ukorofi wa Mwanamke wako,piga chini yeye,kamata Mwanamke mwingine ambae Yuko tayari kucheza na wwe hilo rumba lako la life,lakini siyo ukimbie familia yako bila mipango kisa Maisha magumu, utafeli zaidi!!
 
Hoja ya msingi ni kuhakikisha upo vizuri kiuchumi hata kidogo tu, kwa maana ya chakula kiwe cha kutosha ndani ya nyumba, chakula kikiwepo kwa watu wenye akili nzuri huwezi kuikimbia familia yako.

Mwingine atauliza hiyo hela ya chakula naitoa wapi, ulioaje Kama bado huwezi kukabiliana na njaa ya watu angalau watatu?!!!.

Hakikisha ule muda wa mavuno unanunua gunia kadhaa za mahindi weka ndani, tafuta mchele kg kadhaa weka ndani, debe kadhaa za maharage weka ndani, chukua katoni ya sukari weka ndani, chumvi katoni weka ndani. Ukifanya hivyo huji kuwaza kuikimbia familia.
 
Kwa hiyo unajiokoa wewe unaacha watoto wanakufa. Wasted sperm
Bi Mkubwa Khantwe Nadhani hujamwelewa mleta mada. Sio Siri Kuna kipindi life linaweza kugeuka juu ikawa chini na Hali ikawa hivyo yaani haioneshi dalili za kubinuka.

Mtu unajituma unafanya hiki hakitoki. Kuna watu tumeomba mpaka kazi ya kukatia majani ya bustani lakini wapi. Inapita wiki 3 hata 100 haijaingia mfukoni wakati watoto wanahitaji kula. Mwezi unaanza hujui kipato kitatoka wapi. Kila kitu kimebuma. Katika mazingira ya namna Hiyo, kuliko kuendelea kukaa kwa masikitiko ni heri kuzamia Ubaruku au Kamsamba kwenye vibarua vya mpunga nikimrushia wife hata msimbazi atanunua dagaa na sabuni.

Mleta mada hamaanishi kukimbia moja kwa moja, anamaanisha kwenda sehemu nyingine kiutafutaji, mwanaume akiwa peke yake anaweza kulala kwenye kalvat au akajifunga mtini kuokoa gharama.
Maisha yaacheni tu.
 
Hayo umefikiria wewe ila yeye mtoa mada hakuna mahali amesema hivyo... amesema kimbia nenda kusikojulikana maana yake ni kwamba unakuwa kama umepotea kwenye uso wa dunia familia unaiacha gizani haijui hata inakupataje. Kwenda kutafuta mbali na nyumbani haiitwi kukimbia, ni kama tu aliyeenda kazini akitokea nyumbani. In fact, hata sio suala la kuanzishia uzi maana linafanyika deile tangu enzi za mababu zetu. Zamani babu zetu walizamia kwenye mashamba ya mikonge huko siku ya siku kwa waliofanikiwa walirudi na kitu kinachoeleweka nyumbani
 
Hayo umefikiria wewe ila yeye mtoa mada hakuna mahali amesema hivyo... amesema kimbia nenda kusikojulikana maana yake ni kwamba unakuwa kama umepotea kwenye uso wa dunia familia unaiacha gizani haijui hata inakupataje. Kwenda kutafuta mbali na nyumbani haiitwi kukumbia, ni kama tu aliyeenda kazini akitokea nyumbani. In fact, hata sio suala la kuanzishia uzi maana linafanyika deile tangu enzi za mababu zetu. Zamani babu zetu walizamia kwenye mashamba ya mikonge huko siku ya siku kwa waliofanikiwa walirudi na kitu kinachoeleweka nyumbani
Kuna mazingira yanaweza kusababisha Mtu akaamua kukimbia bila kuacha alama za anakoelekea. Akaamua kujipanga upya. Mwanaume halisi atarudi kuitafuta family yake. Mimi naamini hivyo.
 
Huo ushauri wako mtoa mada wa kifa.la sana. Kuna shemeji yangu mmoja alikuwa anamkataza mkewe kufanya kazi yoyote, ila sasa hali ikiwa mbaya nyumbani anatafuta safari anaacha mkewe anahangaika na watoto. Baadae walikorofishana na mkewe akaenda kukaa kwenye nyumba yao nyingine, watoto wakawa wanapenda kwenda kule maana akiwa na hela kunakuwa na mapochopocho kama yote ila siku akiishiwa hela anasafiri kimya kimya anawaacha watoto wanashangaana
Hii imenisikitisha.unaachaje watoto uliowazaa mwenyewe mwanaume.cha kukufariji ni nini kwenye hii dunia zaid ya wazaz wako na wanao???Aah wap wanangu ndio masela wangu wa kufa nao acha niwalee wapate maisha bora ili mwisho wa siku wakaimbe "NANI KAMA MAMA" 😁😁
 
Kuna mazingira yanaweza kusababisha Mtu akaamua kukimbia bila kuacha alama za anakoelekea. Akaamua kujipanga upya. Mwanaume halisi atarudi kuitafuta family yake. Mimi naamini hivyo.
Ukirudi ukakuta nao wameenda kusikojulikana?
 
Hii imenisikitisha.unaachaje watoto uliowazaa mwenyewe mwanaume.cha kukufariji ni nini kwenye hii dunia zaid ya wazaz wako na wanao???Aah wap wanangu ndio masela wangu wa kufika na kufa nao acha niwalee wapate maisha bora ili mwisho wa siku wakaimbe "NANI KAMA MAMA"
hilo la mwisho halikwepeki mkuu
 
hilo la mwisho halikwepeki mkuu
Na sis wenyewe hata halituumi wala.Yan watoto ni mbegu zetu ndio maana halituumiz vichwa.wakiwa wanajifanya wajuaji si tunawaona ni utelezi tuuu tunafanya yetu siku zinaenda
 
Nahunga mkono hoja kama sijazaa naye sigeuki nyuma siacha alama

Kama nimezaa naye mawasiliano yatakuwepo ili nimtumie mwanangu mahitaji au nampeleka kwa bibi yake mpka hali yangu ya itakapokuwa nzuri
 
Back
Top Bottom