mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 41,878
- 50,469
Ohooooo!!!Angekua wa kike daah hiyo style tamu kweli
Na anajitapa kwa mkewe kwamba yeye ni afisa wa usafi wa mazingira wa NEMC
Ohoooo!!!Amezama chumvini
...hapo unaweza kuta jamaa alifukuzia demu kwa muda mrefu sasa demu kamkubalia ila kamuambia akienda mikono mitupu hapewi mbunye sasa lazima jamaa ajitume ili apate chochote cha kupeleka...
Mbunye noma...
Hahahahaa! Hana jinsi na ndio keshakuwa mwanaume tena hana ujanja ni lazima ahangaike.Wanawake mnaona tunavyoteseka kwaajiri yenu?