Mwanaume katika ubora wangu

Mwanaume katika ubora wangu

Mchanganyiko wote huo wa nini? Tiba nzuri ni mazoezi na kunywa maji mengi. Utakuwa bora kwa kila aina ya mechi na kila aina ya uwanja
 
Mchanganyiko wote huo wa nini? Tiba nzuri ni mazoezi na kunywa maji mengi. Utakuwa bora kwa kila aina ya mechi na kila aina ya uwanja
we bwana we.
Sasa nitaongeza na maji mengi na mazoezi pia japo zoezi napiga daily.
Asante kwa ushauri
 
Pole. Mpaka utumie coctail yote hiyo ndo unanyanyua!!
Wengine kuona tu.kuituliza inakuwa ngumu!!
 
Back
Top Bottom