Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,605
Ndo ukoje uo mlonge tupia picha niuone mkuuMlonge ni noma brother yani unaweza ukawa unatafuna tu zile mbegu zake 3 kwa cku au siku 2
Ndo ukoje uo mlonge tupia picha niuone mkuuMlonge ni noma brother yani unaweza ukawa unatafuna tu zile mbegu zake 3 kwa cku au siku 2
Ila ww jamaa unacchekesha sana, yaan comments zako zinafurahisha sanamkuu izo mbegu za tikiti ni kiboko maana nikila tikiti nakula na mbegu
nikimwaga sasa kamasi la mtoto wa kijijini si unajua walivyokuwa na afya
yaan uku natoa mawaziri, maraisi wakina bashite ndo usiseme
Ndio unagundua fursa now wakat umeshatoa njia ya kutengeneza dawa. Ungeweka tangazo kama tangazo tu ohoooo!!!Kama mtu anahitaji anifate PM aisee
Wait kidogo mkuu
Kwikwikii umekosa pesa mkuu ila hamna nomaSiyo mbaya mkuu
Nilikua natoa tu somo
Yaaah mpaka saa ubongo umeshiba vtu kutokana na nondo za humu. Ila ahsante kwa elimu pia naww mkuu japo kuna vimburu wanasema Mm na ww ni mtu mmoja Id tofautiKwel mkuu hata mm nimejfunza mengi sana hapa jf gharama yangu ikiwa ni bando tu