Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,800
- 2,713
Jina maarufu ni kihindi hindi
Makabila machache huuita mavimbe na wengine mlayuni
kisayansi tunauita cissus Quadrangularis
Tafuta mmea huu, majani ya mzambarau na kashkashstar anise) na andaa kwa formula hii
1. Unga wa Kihindihindi (Cissus quadrangularis), 100gm
2. Unga wa majani ya Mzambarau (Syzygium guineense), 100gm, na
3. Unga wa Kashkash/Star anise (Ilicium verum), 50gm
Atumie kijiko cha chai 5gm katika maji moto, anywe asubuhi na jioni. Awe anapima sukari kila siku 2
Kwa walio mbali na SUA au vyanzo vya miti hii, tuwasiliane kwa 0713 039 875
Dozi tuloandaa , Elf 50