Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,139
- 12,286
Hii ya kurudi nyumbani umelewa...mama no. yako ninayo nitakupigia!
Mwanaume kamili ni yule anaejiamini. .
Anaelewa thamani ya mwanamke na kumthamini!
Mwanaume kamili ni yule anaefahamu majukumu yake. .
Aliye tayari kusaidia, bila kusubiri mpaka atake!
Mwanaume kamili ni yule anaejielewa. .
Anaerudi nyumbani bila ya kulewa!
Mwanaume kamili anajua muda wa kurudi nyumbani. .
Hasubiri mama na wana wakamtafute kilabuni!
Mwanaume kamili anajua anapohitajika. .
Hujitahidi 'kuwepo' hata akichoka!
Mwanaume kamili anatambua umuhimu wake katika malezi. .
Anajua kuzaa pekee hakumfanyi mzazi!
Mwanaume kamili anajitahidi kuwa mwaminifu. .
Na hamwachi mwenzie atoke bila kumsifu!
Mwanaume kamili hufikiri kabla ya kutenda. .
Hafanyi makusudi kuumiza anaowapenda!
Mwanaume kamili hutumia neno 'samahani'. .
Hana makuu na kujikweza asilani!
Mwanaume kamili hupendeka. .
Hufanya iwe rahisi kwa mwenzi kucheka!!
Hongereni "wanaume kamili" wote ndani ya JF na uraiani. Kwa niaba ya wote wanaowakubali TUNAWAPENDA SANA. . Y'all are deeply appreciated!
hahahahahaaa!!!! ngoja niweke hii sasa!!!
chagua ipi tamu!!
naona rafiki ako E wa T kafufuka kutoka kuzimu.
Asante kwa kutupa sifa za mwanaume wako wa kufikirika. Kwenye utawala tungeiita hii ya kwako kuwa ni VISION ya mwanaume ambaye wewe unadhani kuwa ni kamili.
Wee.......tulia, zitapigwa humu!!!MMh, the eyes, the lips, yummy mmh!
Hahahahaha. . .Aaah mkuu sipingi ila niko kiperspective zaidi...kunywa/kulewa...umegusa ikulu mkuu ha ha haaa.....sifa zoooooooote nnazo ila hii ya kurudi umekunywa, sorry kulewa....hold on.... mama Gaude anakuja upande huu!
Hii nimeipenda kwa kweli, nimepata picha the type of mwanaume wapenda.... Ulie mdiscribe yupo Perfect, In reality ni ngumu saana kumpata but wenye bahati zao wanapata, na hopefully utawa mmoja wao.....
Kwa upande wangu Mwanaume kamili ni yule ambae ananielewa ipasavo na on top of that ananijali mno hata kama hajanipenda mno! akinielewa ipasavo atajua nini nataka, wakati gani nataka hicho kitu; Atanijua tabia zangu zoote, nikiwa sad/emotional/sensitive/happy/horny/depressed - na atatafuta njia mbadala wa kunifanya niwe normal. In short on one to one... Atanifanya nijiskie I am special and Woman indeed. Atakua baba mzuri wa watoto wangu na kutimiza wajibu wake kama baba na Mume. Ana Utu kwa wanadamu woote sio tu wakaribu wake.....
Mwanaume kamili huendana na mazingira yoote, hana mtindo wa kuuza sura, wakati wa kazi ni wakati wa kazi! Wakati wa kuuza sura ni wakati wa kuuza sura! He is at home anywhere... iwe shamba, iwe kazini (ofisini), iwe kijiweni, iwe kwa wakwe, iwe nyumbani kwake na hasa kila chumba (i.e jikoni), iwe mbele ya kundi kubwa, iwe mkutano, He rules..... either by being a low key player or high key player.... Awe anajua ana madhaifu na asiwe muoga wa kuonesha hayo madhaifu (walau kwangu kama mpenzi wake). Ajue kua yeye ni mwanadamu kama wengine, ili a-appriciate wanadamu wali mzunguka regardless hali zao...
Mwanaume kamili ni yule mwanaume hata his fellow men wish to be like him.....
Front gentleman, real man, perfect man to mwanaume kamili (complete man?).
Unfortunately, no one qualifies for that.
Hapo cha kufikirika ni kipi haswa?
Kutokulewa? Kujali familia? Kutimiza majukumu? Kijielewe? . . . . . . .?
Nichakachue kwa faida ya nani?Refer comment ya Ashadii. Kama kwa mtazamo wako hivyo vigezo ulivoviweka ndio kipimo cha mwanaume kamili, basi utaishia kuwa stress zisizo na mpango. Jaribu kuchakachua kidogo hizo sifa ili ziendane na hali halisi.
Ujumbe kwa wanaume, kama unataka mwanamke kamili, mke mwema etc fanya kazi uwe na uhakika wa fwedha!
Kwa upande wangu Mwanaume kamili ni yule ambae ananielewa ipasavo na on top of that ananijali mno hata kama hajanipenda mno! akinielewa ipasavo atajua nini nataka, wakati gani nataka hicho kitu; Atanijua tabia zangu zoote, nikiwa sad/emotional/sensitive/happy/horny/depressed - na atatafuta njia mbadala wa kunifanya niwe normal. In short on one to one... Atanifanya nijiskie I am special and Woman indeed.
What's your definition of kulewa?he he he safi sana but mimi nalewaga although narudi nyumbani mapema.i also enjoy getting drunk with my bby grl,hilo nalo kosa?
Though hata baadhi ya wanaume wanaofanya kazi na kuwa na uhakika wa fwedha wana nyumba ndogo. Inawezekana mwanaume akawa na mwanamke kamili lakini akaamua pia kuwa na nyumba ndogo?