Mwanaume KAMILI

wanaume wa dar sio wanaume kamili
Hivi wewe una tatizo gani na wanume wa Dar!!?? unabore sasa, sio lazima uchangie kila thread hata kama huna point ya kuchangia. mimi nadhani kuna wanaojifunza vitu humu kupitia michango ya wengine, ukasuku huu ndio unaonifanya niwe napita huku mara chache sana.
 
mwanume asiyeprovide vyakutosheleza........wengine mahitaji yetu Land cruiser, sasa ukinihudumia kama vile me Vitz au Duet utajiita na wewe mwanume kamili?
Akili mgando ndio hizi, yaani wewe mpaka leo unategemea uwezeshwe na mwanaume? nenda kwa Mwamvita Makamba atakueleza the key to success independently. kwa tamaa hizi utafanyishwa ngono hata na mbwa.
 
unajua tofauti kati ya mwanaume anayejali mahitaji yako kikamilifu na hilo unaloliongea hapo kwenye RED?
Mwanaume kamili lazima ajue mahitaji ya mwanamke na ayatimize/aoneane kutaka kuyatimiza lakini vikwazo ndo vinazuia (hapa, elewa kwamba atayatimiza kulingana na hali yao kama ni wanandoa).

Vijana kuweni wanaume kama babu zenu........sio siku hizi mnapigia hesabu mshahara wa girl friend wako, ili uweke mafuta kwenye GX100 yako ya mkopo.
 
hahahahahaaa!!!!
hii sasa kashfa kwa vijana wa mujini.

Wao hela zao wanakunywa kesto laiti zote, halafu anapiga hesabu atachukua buku 30 kwa girlfriend wake ili aweke mafuta!!!!! tena kwenye gari ya mkopo!!!
 
We brigita, rudisha ile avatar yako unatafuna mahindi makavu bwana.

hahahahahaaa!!!!
hii sasa kashfa kwa vijana wa mujini.

Wao hela zao wanakunywa kesto laiti zote, halafu anapiga hesabu atachukua buku 30 kwa girlfriend wake ili aweke mafuta!!!!! tena kwenye gari ya mkopo!!!
 
mwanume asiyeprovide vyakutosheleza........wengine mahitaji yetu Land cruiser, sasa ukinihudumia kama vile me Vitz au Duet utajiita na wewe mwanume kamili?

Hii inahusu sana watu kuwa na watu wanaoweza kuwahudumia kama umuhimu ndipo ulipo. Sio mwanaume wa 200 000 anaanzisha mahusiano na mwanamke anaetaka kuspend zaidi ya 500 000 kwaajili yake binafsi bila kuitafuta mwenyewe.
 
:lol:...hahaha, ....haya bana!

Mbu we uhakika wa fweza unao au unabangaiza?Lolz

Usije ukamlisha mtoto wa watu mihogo ya kuchoma asubuhi wakati ye alizoea/anataka mayai na soseji, ukifanya hivyo lazima akuona "sio KAMILI".
 
halafu atatutafuta sisi akina KAMILI kama mpango wa kupiga mbizi.
 
Hii inahusu sana watu kuwa na watu wanaoweza kuwahudumia kama umuhimu ndipo ulipo. Sio mwanaume wa 200 000 anaanzisha mahusiano na mwanamke anaetaka kuspend zaidi ya 500 000 kwaajili yake binafsi bila kuitafuta mwenyewe.
Kwa mitazamo hii haitakuja ije kutokea usawa unaoliliwa na wanawake, maana tayari wanawake wao wameshajiposition kama Matonya type.
Ndio maana mpaka sasa sijaona mwanamke mfanyabiashara mkubwa Tanzania, maana akili ikishakuwa tegemezi ni tatizo.
 
Vyote ulivyotaja sio vigezo vya kua mwanamme kamili,Kigezo namba moja shurti mtalimbo uwe unafua dafu vizuri na usiwe doro,unaweza kua na vigezo vyote hivyo kama mtarimbo u-doro basi wewe si kamili
 
Matola usikuze sana hii kitu. Kwasababu tu baadhi ni tegemezi wake/waume haina maana wachache waliobaki hawawezi wakaleta mabadiliko kwenye mahusiano na maisha kwa ujumla.

Na kuhusu nilichoandika mimi, haiishii kwenye pesa tu bali hata sura/maumbo, tabia n.k. Mtu awe na mtu ambae ataridhisha mahitaji yake yawe ni ya kimwili, kiakili, kiroho, kifedha n.k Yani kila mmoja awe na saizi yake kuendana na matakwa/mahitaji yake. . . tofauti na hapo ndio mwanzo wa kuonana "Sio KAMILI".
 
Vyote ulivyotaja sio vigezo vya kua mwanamme kamili,Kigezo namba moja shurti mtalimbo uwe unafua dafu vizuri na usiwe doro,unaweza kua na vigezo vyote hivyo kama mtarimbo u-doro basi wewe si kamili
Anajua anapohitajika kwa familia: kifedha, kimawazo, kiushauri, kimaamuzi n.k
Anapohitajika kwa mkewe: kiunyumba, kimawazo, ushauri, kuliwaza, kimaamuzi n.k

Yani anajua wakati gani anatakiwa/hitajika kufanya nini, na atajitahidi kufanya hicho kitu hata kama hapendi/hataki/amechoka kwa wakati huo

. . . . .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom