Mwanaume KAMILI

Kwa maani ipi Tulizo?

Mwanaume kamili ni yule ambaye anaweza ku-overcome mapungufu yanayoletwa na challenge za maisha ikiwa kama sacrifice kwa mpenzi wake..

Mfano mdogo wewe unapenda niende jikoni na kukusaidia kukuna nazi....baba yangu mzazi akijua basi atakuja juu na kusema kuwa umeniloga nami zumbukuku ..Lakini ukweli utabaki nimeshinda challenge hii ya kijinga kwa ajili yako.. nimechagua kukufuata wewe badala ya ushauri baba mzazi..ni mfano mdogo ambao unaweza ku-argue lakini kuna mingi...ambayo inalenga kusema kuwa yote aliyosema LizzY yanawezekana ila wanaume wengi hawana guts za kujaribu!

In short.. kila kitu kinawezekana na mwanaume kamili ni yule ambaye anaweza kufanya kile ambacho wengine wanadhani ni impossible!
 
Huyu ni binadamu anaejitambua,ili uwe mwanaume kamili hauitaji kingine ila jinsia ya KIUME iliyokamilika!
 
Mwanaume kamili ni yule ambaye anaweza ku-overcome mapungufu yanayoletwa na challenge za maisha ikiwa kama sacrifice kwa mpenzi wake..

Mfano mdogo wewe unapenda niende jikoni na kukusaidia kukuna nazi....baba yangu mzazi akijua basi atakuja juu na kusema kuwa umeniloga nami zumbukuku ..Lakini ukweli utabaki nimeshinda challenge hii ya kijinga kwa ajili yako.. nimechagua kukufuata wewe badala ya ushauri baba mzazi..ni mfano mdogo ambao unaweza ku-argue lakini kuna mingi...ambayo inalenga kusema kuwa yote aliyosema LizzY yanawezekana ila wanaume wengi hawana guts za kujaribu!

In short.. kila kitu kinawezekana na mwanaume kamili ni yule ambaye anaweza kufanya kile ambacho wengine wanadhani ni impossible!
Hapo dingi na watu wengine wanapaswa kutambua kuwa, uanaume wako hautapungua kwa kumsaidia mke wako kazi ndogo ndogo za ndani, kama hizo kupika kuosha vyombo na vitu kama hivyo, maadam mpo ndani wenyewe.
 
Mwanaume kamili anajua anapohitajika. .
Hujitahidi 'kuwepo' hata akichoka!

Fafanua plse

Anajua anapohitajika kwa familia: kifedha, kimawazo, kiushauri, kimaamuzi n.k
Anapohitajika kwa mkewe: kiunyumba, kimawazo, ushauri, kuliwaza, kimaamuzi n.k

Yani anajua wakati gani anatakiwa/hitajika kufanya nini, na atajitahidi kufanya hicho kitu hata kama hapendi/hataki/amechoka kwa wakati huo
 
Mwanaume kamili ni yule anaejiamini. .
Anaelewa thamani ya mwanamke na kumthamini!

Mwanaume kamili ni yule anaefahamu majukumu yake. .
Aliye tayari kusaidia, bila kusubiri mpaka atake!

!

pamoja sana, mwanaume asiyeprovide sio mwanaume kamili tu bali si mwanaume.
 
Mwanaume kamili ni yule ambaye anaweza ku-overcome mapungufu yanayoletwa na challenge za maisha ikiwa kama sacrifice kwa mpenzi wake..

Mfano mdogo wewe unapenda niende jikoni na kukusaidia kukuna nazi....baba yangu mzazi akijua basi atakuja juu na kusema kuwa umeniloga nami zumbukuku ..Lakini ukweli utabaki nimeshinda challenge hii ya kijinga kwa ajili yako.. nimechagua kukufuata wewe badala ya ushauri baba mzazi..ni mfano mdogo ambao unaweza ku-argue lakini kuna mingi...ambayo inalenga kusema kuwa yote aliyosema LizzY yanawezekana ila wanaume wengi hawana guts za kujaribu!

In short.. kila kitu kinawezekana na mwanaume kamili ni yule ambaye anaweza kufanya kile ambacho wengine wanadhani ni impossible!

Pia hio nilo bold... 100% consented.... Hapo kwa baba mkwe ni tatizo kidogo... Wanandoa wengi huchukua msimamo wa kusema wao wameoana na kupendana basi inatosha wengine hamna kuingilia. Kuna wengine kweli wa kuwapuuza na kuna wengine wa kuwatilia maanan.... Hasa wazazi, inauma saana kua umemlea mwanao miaka yoote then aku ignore kabisa sababu tu kapata mke..... Vitu kama hivi mara nyingi ndio mtihani Tulizo.... Mwanamke kamili ni lazima aelewe kua hata kama mumewe ampenda na aweza fanya lolote kwa ajili yake, kuna vitu inabidi atumie busara. Kama mwapendana na mumeo na aweza kukuna nazi, sio lazima afanye hivo na woote walo wazunguka wajue, si mpo jikoni bana, saidia kukuna nazi roho yangu ifurahi lakini sina haja ya kuenda sema sema kwa wengine kua mume wangu hua ananikunia nazi (kama najua wazi italeta picha mbaya) kwa wale ambao sio waelewa.... Hii inagonga pande zote mbili....
 
Mwanamke kamili ni lazima aelewe kua hata kama mumewe ampenda na aweza fanya lolote kwa ajili yake, kuna vitu inabidi atumie busara. ...

Excellent! Hivyo tunaweza sena huwezi kupata Mwanaume kamili bila kuwa na Mwanamke kamili!
 
Bora uanaume wangu upungue kuliko kukaa kwenye kibao chambuzi na kuanza kukuna nazi
Hapo dingi na watu wengine wanapaswa kutambua kuwa, uanaume wako hautapungua kwa kumsaidia mke wako kazi ndogo ndogo za ndani, kama hizo kupika kuosha vyombo na vitu kama hivyo, maadam mpo ndani wenyewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom