Mwanaume kamili acha mara moja mambo haya

Huwez kuwa timilifu
Utafiti umeonyesha wanaoshabikia mpira hasa timu Kama yanga, arsenal,man u wanaweza wakawa na mapungufu ya nguvu za kiume.

Na watu wasiopenda kabsa kushabikia mpira ni watu ambao wanajali sana mambo yao na wapenz wao wanaenjoy Kwenye tendo
 
Kwa humu jf ziwaendee wale wanaume wanaojifanya ujuaji mwingi na dharau zisizo na kichwa wala miguu tena kwa mtu ambaye hata humjui zaidi ya kuona maandishi tu.

Punguzeni kwani huwa tunawatoa kwenye kundi la wanaume kamili.
Wataje tu.....

Let's meet at the top, cheers 🥂
 
Habari.

Bila shaka mmeamka vyema.

Nanena na wanaume wenzangu pamoja na vijana wa KIUME. Kuna ka tabia ka kike kike kanaendelea huko kunako simu na mitandao ya kijamii.

Ka tabia haka ni kutumia baadhi ya matamshi ambayo yanapunguza thamani ya uwanaume kwakua na viashiria vingi vya kike.

MFANO wa maneno MACHACHE yanayonikera.

1. THATHA' / XAXA badala ya 'SASA'

2. Mwanaume mwenzio kumtumia meseji ya 'MAMBO'

3. Kumtumia meseji mwanaume mwenzio kisha kuweka emoja za kuona aibu (Nadhani mnazijua)

4. Kukerwa na mtu kisha kupost status kwa vijembe vya mafumbo (hasa nyimbo)

YAKO MENGI

Hebu nawe ongeza matumizi mabaya ya simu ambayo hakupaswa kuwa nayo mwanaume.

Asanteni.
mwanaume kuji

mwanaume kujipost status kila saa yani kila sekunde anapost kitu na kufuta utafikiri kuna mashindano ya umodo kwao ..............alafu sio ya kike kike ni ya kishoga shoga maana mimi mwanamke na siandiki hivyo
 
Back
Top Bottom