Behind the camera
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 315
- 757
- Thread starter
- #61
Bora IST kuliko passo au vile vi nissan vidogo mithili ya tool boxKuendesha IST
Mwanaume anaendesha JIEFANG, BULDOZA, CATAPILLAR, TRACTOR, nkBora IST kuliko passo au vile vi nissan vidogo mithili ya tool box



Leta gahawa mkuuVipi mmemaliza kikao niwaletee maji ya kunywa?
Kama kijibwaMwanaume kuvaa cheni shingoni

Nimenukuu tu mkuu, naomba nisihukumiweshika adabu yako mkuu



hayo mengine yanavumilika ila HAYA MAWILI hua roho inaniuma sana mwanaume mwenzangu akiyafanya.2. Mwanaume mwenzio kumtumia meseji ya 'MAMBO'
3. Kumtumia meseji mwanaume mwenzio kisha kuweka emoja za kuona aibu (Nadhani mnazijua)
hahahahhaa sio kweli mkuuUkiona unatumiwa meseji za design hiyo tambua mpo kundi moja

Mambo VIP, Mambo niaje, Mambo yanaendaje, Mambo Nini, Mambo......Mambo vipi? Hii salamu kwa Mwanamme ni Kosa?? Huwa Natumia sana "Mambo vipi Savimbi?" ila situmii Mambo peke yake!!
Ndio nakuambiahahahahhaa sio kweli mkuu
Kung'ang'aniza urafiki, mahusiano