Mwanaume huyu alifanya maamuzi magumu

Mwanaume huyu alifanya maamuzi magumu

Unampenda sana, halafu ukaudhiwa na maneno yake na udaku wake, utafanyaje huku ukijua kuwa, japo hutaki kumuacha lakini hutaki kumjibu ubuyu wake. This man was a genius I tell yu. Hii ni dawa nzuri kwa anaume wengi leo.
Kuna mwanamke aliomba ushauri nadhani ni jana ati yu alala kitanda kimoja na mume sasa ni muda hata tendo la ndoa mume hataki. Nadhani ni mambo haya haya yalimfikisha jamaa hapo.
Anavua nguo, una do kimyaaa tena shingo upande tu. Ukija kwenye mshindo unaondoka unaenda kuoga ukirudi usingizi. Akiuliza ulisikiaje weye ni; Unasemaaa??? Sisikiiii. Kwa sauti kubwa hadi majirani waje. mara mbili harudiii.
 
Huyu anaweza kuwa muigizaji bora tokea dunia kuumbwa aisee yani miaka 62 ya kuigiza

mpuuzi mpuuzi tu
 
ninavyojua kuongea,nahisi mume wangu ata adopt hio stratergy.hahhahahahaaaaaaaaaaaaaaaa nimecheka sana sky ..yaani kama namuona huyo mbaba akijifanya kauzu hahahh
 
Kwa wanaume wa kikurya km mimi ntakupiga nikuue.

Sent using Jamii Forums mobile app
Thats why sijawahi kutoka na Mkurya. Kuna Mkurya mmoja alikuwa ananitongoza kwa ukali huku akinitukana mulisya, nyankundo, kimbumbu cha noko yaani ananitongoza kwa ukali utadhani anataka tukapigane.
Nikamwambia aiseee..... hapo hujanipata unanitongoza kwa ukali na matusi hivyo, vipi siku ukinichoka?
 
Mtunuku tu mkurya wa watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom