Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,913
- 67,434
- Thread starter
- #41
Sasaiv una pewa tuMara ya mwisho kuomba namba ilikua 2019 kwenye gari Machame Inv Rombo Dom.
Sasaiv una pewa tuMara ya mwisho kuomba namba ilikua 2019 kwenye gari Machame Inv Rombo Dom.
Mimi siongei na mtu bila ya huyo mtu kuwa na introduction ya mtu tunayemjua wote.Ile una pewa namba au umetafuta namba ya manzi ulie muelewa ile una mtafuta tu una anza ulizwa namba umepata wapi hili swali una jibuje
Mimi huwa najieleza vizuri simtaji muhusika ila nikiona kichwa ngumu basi nasema niliomba namba ya malaya wa karibu nime pewa hii
Wewe una jibuje au ndio una mtaja muhusika alie kupa namba
Hii ndio uhakika swala za kujieleza hapanaMimi siongei na mtu bila ya huyo mtu kuwa na introduction ya mtu tunayemjua wote.
Na mara nyingi huwa mimi ndiye natafutwa.
Nakwambia hivi jana tu kuna mtu kanitafuta akaanza kujieleza yeye kapata wapi namba yangu.Hii ndio uhakika swala za kujieleza hapana
Sema mshua ungekuwa una fanya hip hop, kitengo chako kingekuwa cha kuji mwambafy.Nakwambia hivi jana tu kuna mtu kanitafuta akaanza kujieleza yeye kapata wapi namba yangu.
Duh ni misingi muzuri ume jiwekeaNakwambia hivi jana tu kuna mtu kanitafuta akaanza kujieleza yeye kapata wapi namba yangu.
Sio kwamba napewa tu ila bas tu sinaga time ya kuchukua chukua number, mpaka nichukue number ya mtu nisave kutakua na jambo la msingi sana tunafanyaSasaiv una pewa tu
Yaan ile ume tafuta namba then mtu wewe una mjua yeye hakujuiJapo sijawahi ulizwa au kwa kuwa huwa naanza na intro kabisa.
"" Mi flani nimekutafuta kwa shida flan namba yako nimepata sehem flani..""
Sasa hapo akijibu kunya is up to yeye mara nyingi huwa nipo straight tu kama haeleweki namuweka blacklist
Kwhy nikikupa namba ya cousin wangu yule uto sevSio kwamba napewa tu ila bas tu sinaga time ya kuchukua chukua number, mpaka nichukue number ya mtu nisave kutakua na jambo la msingi sana tunafanya
HahahaAhahha we kiboko
Sizitaki tena tar 29 jioni alitaka kunipiga risasiKwhy nikikupa namba ya cousin wangu yule uto sev
Alikuwa kaziniSizitaki tena tar 29 jioni alitaka kunipiga risasi
Akafie mbeleAlikuwa kazini
Ila kashakuelewa wew ni wa kuozeshwa na mtutuAkafie mbele
Sheria ya dini yetu inaruhusu wanneIla kashakuelewa wew ni wa kuozeshwa na mtutu
Ahahah hao wengine tuna wapiga mtutu ana baki mmoja na ole wako uongeze tuta kukata shingoSheria ya dini yetu inaruhusu wanne