Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,586
- 66,282
- Thread starter
- #21
Kweli wewe mbobezi aseHapana kama ni mwanamke hawezi kujibu hivyo ile meseji iko emotional na pale ziko 3 in 1 message.
Mwisho wa siku Yeye mwenyewe ndio ataomba appointment na kuharakisha muonane ili akuone unafananaje ili avute kumbukumbu mlikutana wapi na mkishakutana mada inabadilika anasahau alichoplan kuja kukuuliza.