Mwanaume hili swali una jibuje?

Mwanaume hili swali una jibuje?

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,586
Reaction score
66,280
Ile una pewa namba au umetafuta namba ya manzi ulie muelewa ile una mtafuta tu una anza ulizwa namba umepata wapi hili swali una jibuje

Mimi huwa najieleza vizuri simtaji muhusika ila nikiona kichwa ngumu basi nasema niliomba namba ya malaya wa karibu nime pewa hii

Wewe una jibuje au ndio una mtaja muhusika alie kupa namba
 
Subirini jamani kupoe ndo muanze kuja na hizi mada. Tumepoteza ndugu zetu na tunaendelea kuzika nyie mnakuja na mada za miti. Kuweni na staha!
 
Ile una pewa namba au umetafuta namba ya manzi ulie muelewa ile una mtafuta tu una anza ulizwa namba umepata wapi hili swali una jibuje

Mimi huwa najieleza vizuri simtaji muhusika ila nikiona kichwa ngumu basi nasema niliomba namba ya malaya wa karibu nime pewa hii

Wewe una jibuje au ndio una mtaja muhusika alie kupa namba
Ila mwachi kwani una umri gani? 🙆‍♂️
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom