Mwanaume Hanuni!

Wewe unaonekana huwa haununi..:smile-big::smile-big:
ATA KIDOGO
kanuni ya 4 ya maisha yangu inasema KINUNO KWANGU MWIKO
--km kuna vanga linachezwa ..km ulikosea kifungu cha katiba unaelekzwa then shangwe tu km kawa...nimenuna apa ndani nimetoka nje gari pwaaaaaaa nimeded aya niambie ntaiona mbngu mimi?unaenda kwa sa god na vnyongo milion moyon ahaaaa mistak ivo bana...happppppppy ..happppy always.....
niaje lakin?
idd?
 
Wewe unaonekana huwa haununi..:smile-big::smile-big:

Kitanda usochokilalia hujui kunguni wako.....
Hapa nimenuniwa.....najaribu kubembeleza mnuno uishe....Rose alidai gauni la sikukuu (ya jana) sasa nikawa nimechacha.......
Rose:kiss::kiss::kiss::love::love:
 
Mwanamke umea!!!!! kusutwa suna babu weeeee

Mi nataka wamotooooooo ukipoa kiporo

mmh apa naogopa finest atansuta...ntakuchek kwa sms...mh shosttttttttt una kifua lakin?una moyo?una mbavu?una miguu? una....ok then stay tuned...the calabash iz coming...wth full info MR MADAME
 
tehh tehh makange YA DIG DIG??jaman mama bg usimfanyie ivo dig dig wwawatu..

Kaniboa sana huyu :llama:mbele ya macho yako na RR chakuja amevaa shati jeupe black suruwali na 4angles kumbe hana lolote hata sheli tuu anataka kupelekwa
 
mmh apa naogopa finest atansuta...ntakuchek kwa sms...mh shosttttttttt una kifua lakin?una moyo?una mbavu?una miguu? una....ok then stay tuned...the calabash iz coming...wth full info MR MADAME

Sasa mimi nitaandaa pilipili na ndimu ili unoge zaidi..... chachandu kwa pambeni
 
:tape::tape::tape::doh::nono: This is not a woman to marry
dah una akili wewe...
haya mama nitakupotezea, ila acha hasira binti

kunani tena hapa
 
mmh apa naogopa finest atansuta...ntakuchek kwa sms...mh shosttttttttt una kifua lakin?una moyo?una mbavu?una miguu? una....ok then stay tuned...the calabash iz coming...wth full info MR MADAME

Waniuaua kipenzi, waniuaua X2
 
Kitanda usochokilalia hujui kunguni wako.....
Hapa nimenuniwa.....najaribu kubembeleza mnuno uishe....Rose alidai gauni la sikukuu (ya jana) sasa nikawa nimechacha.......
Rose:kiss::kiss::kiss::love::love:

Haaaaaaaaa haaaaaaaaaaaa roy nimecheka wewe
sir za ndan mbona watoa nje jaman?ndo yale yale wa jamaa yule kwenye ile post ingne
nakununia ndan tukitoka nje kicheko kireeeeeeeeeeeeeefu kuna ubaya gan sweeeeeeeetie..
...na nshakwambia no gaun no ndoa ..ist clear???hp u heard me correctly...i repeat t..
I WANT BAZEE,KONKOO,KIBANIO CHA NYWELE AS U KNW I HV GT A LOOOOOOOOOOOOONG HAIR..
na leo ukilala kwa mam bg utantambua cz bg wake nshamrudshia tl sec semester...mwanaume gan wewe ata kukopa kwa dig dig finest imekushnda????
ahh mi nataka niamie kwa bg ....
 
Wanaume bwana huwa hawanuni zaidi ya siku tatu ..hawapendi malumbani lakini sisi kina mama unaweza kununa mpaka sura inaanza kupoteza mvuto
sijui tukoje sie

hahaaaa mwe..natamani mama gaude wangu anune halafu nione sura yake inapoteza mvuto...hahaaa umenifurahisha sana
 
Hivi Rose, SUB TENDER ndo kama SPARE TYRE eeeeeh!!mmmmmmmmmh kama ni hivyo basi swaga hizo hapana!!!!!!!!!!!Kwani hata hivyo inahu...........???????!!!!!

hahhaaaaaa hahahh ndo manake
unakuwa unamega kisera kwa rr mipango kwako matumiz..hautak???
spare tyre ina ubatya gan....?faida nyng sana kwanza hautumik sana na ivi nakujua wewe mvivu bas kuwa spare tyre ndo kunakufaaa...lakin usiwe km maadui zake maty wale marioooooooooooo!!!!!!!!!
uyoga vp sasa babu wewe nakuona unambwelambwela tu apa mpango kamili hautoi..NTAKUNUNIA....!!!!!!
 
hata kosa likiwaje
wanapenda kulizungumza ata km matokeo ya maongez ni mabaya lakin ata least kazungumza na siyo kurefusha mdomo km chujio la chai....

Hapo kwenye bold..........kama nakuona vile ukiwa umenuna..............tehtehtehteh!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…