Mwanaume Hana Moods

...hapana mwanajamiione,...hapo kwenye red wanaume hatupo hivyo...
mwanaume anapokuwa na alternative, huwa hanuni hata siku moja...ni ujeuri kwa kwenda mbele.
Hahahahahh sweetie ninakuelewa lakini si kwamba inategemea? Mf. kwa wale ambao kama mama ndie anayeshikilia uchumi wa familia yake pamoja na yeye mwenyewe! Mama ndie anayemfanya yeye aendeshe gari na kuhonga huyo wa pembeni anaweza kweli kukufanyia ujeuri ilhali kesho anatarajia kukwambia gari haina mafuta? nafikiri ataishia kujinunisha tu ili mradi akutetemeshe roho!. ......uanze tu kujishughulisha mwenyewe mara hizi kaongezee mafuta, e.t.c.

Sijui lakini maana kwa upeo wangu wa siku hizi hata siwezisema ninamwelewa vema binadamu maana kila kukicha ni vituko kwa kwenda mbele si mwanamke si mwanaume.
 
Dah MJ1 Umenitonesha kidonda ngoja niishie hapa
 
mhhh mpotezee uyo siku akiwa fresh atajirud na mtaanza reconciliatn...kuna watu wanapenda kuona wenzao hawana raha kwa kuwawaza wao....ivo wewe ulivyo roho juu mwenzio apo anakunywa juic tu anafurahiiiiii anaona anakukomesha/anakukomoa...haina tofaut na wale wanaofanya mapenzi kwa kuchapana mijered...kuchanjana viwembe et ndo wanapata raha......

au anapenda sana kubembelezwa uyo mmeo?
ahh katoka tanga nini?......(samahan sina nia ya kusema watanga ndo wanapenda kudeka deka.kununanuna....m just luking 4 sababu..)

km vp mwaya mwandikie barua...weka apo kitandani au kwenye gar lake usiku ..asubui akifungua ataikuta bahasha na ataenda kusome ofcn then mchana kutwa atakuwa anawaza tu jion akirud ataanza kukuliza cha kuniandikia?..na wewe apo utafunguka....
 
Wapendwa MMU habari zenu nimewamiss mjue? Mimi nashida na shida iko kwa my huby ana mood mbaya plz help haongelesheki kamwe! (msinitukane tafadhali nawaomba)

Ha ha haa. Hope wenye tabia ya kutukana wamepata ujumbe.
 
Hahahahahh sweetie ninakuelewa lakini si kwamba inategemea? Mf. kwa wale ambao kama mama ndie anayeshikilia uchumi wa familia yake pamoja na yeye mwenyewe! Mama ndie anayemfanya yeye aendeshe gari na kuhonga huyo wa pembeni anaweza kweli kukufanyia ujeuri ilhali kesho anatarajia kukwambia gari haina mafuta? nafikiri ataishia kujinunisha tu ili mradi akutetemeshe roho!. ......uanze tu kujishughulisha mwenyewe mara hizi kaongezee mafuta, e.t.c.

...hapana, ubinadamu kazi ...acha tudokoe tu vifungu mbalimbali vya methali, misemo, theories hata kina john gray na tafiti zao...

“The cave is critical for men,” explains Mitzi Gold, a clinical psychologist and social worker, and director of the Mars & Venus Counseling Center of Honolulu. “The cave is a place where a man likes to go to relieve stress. Men all around the planet are doing this. They need it. It’s part of their cycle.”
Gold says this is extremely important for a woman to understand. “Men need to work off the stress they experience in their life,” she explains.
Gold notes that women are always connected to relationships, so they don’t understand why men need their cave time."

...Sijui lakini maana kwa upeo wangu wa siku hizi hata siwezisema ninamwelewa vema binadamu maana kila kukicha ni vituko kwa kwenda mbele si mwanamke si mwanaume.

...ubinadamu kazi mama, ...kuna kipindi hata mwenyewe inakuwa shida kujielewa...itakuwa mwanadamu mwenzangu?
tuchukuliane tu mwanajamiione,...no one is perfect but yourself...
 
Pole saana dear... hopefully itaisha karibuni, kwani hutokea mara kwa mara ama mara moja moja??
 
Soma PM Dear
Dena umeituma kwa posta au DHL maana naona haifiki hiyo PM yako na mie kwa umbeya hata situlii hadi ifike lol
Cheka kidogo bana ni vijimambo tu hivi vitaisha eh! Na ukiona hivyo anavyonuna nuna halafu haleti ukorofi jua deep down ya moyo wake bado anakupenda.
 
Back
Top Bottom