Tatizo la nguvu za kiume kwa kiasi nacho wanawake wamechangia

2025DG

JF-Expert Member
Jan 30, 2023
508
1,426
Habari.

Kumekuwa na wimbi kubwa sana la Wanawake kulalamika kutofikishwa vileleni na wapenzi wao,na lugha hii kwa sasa naona kama inaongelewa karibia na wanawake wote.

Kiukweli shida ya mwanamke kuweza kufika kileleni kwa asilimia chache inaweza pia kuchangia na mtu huyo anayohitaji kufika kileleni.

Mwanaume anahitaji kuona
mwanamke aliye sex (mwenye ushawishi au tuite mvuto)
Mwanamke mwenye mahaba .
Mwanamke anayejua kufanya mapenzi na sio gogo kitandani kama walivyo wengi.
Mwanamke mwenye mood nzuri ya kunyanduana sio kama walivyo wengi.

Mimi sio mwalimu wa mapenzi ila kwa kiasi kadhaa mwanaume wa leo anaonekana hana nguvu ya kiume kumbe mambo mengine yanachangiwa na mwanamke mwenyewe.
 
Aisee
 
mkuu badilisha kazi za kufanya,siku hz wanawake hawafiki utamaliza maji mwilini.
 
Habari.

Kumekuwa na wimbi kubwa sana la Wanawake kulalamika kutofikishwa vileleni na wapenzi wao,na lugha hii kwa sasa naona kama inaongelewa karibia na wanawake wote.

Kiukweli shida ya mwanamke kuweza kufika kileleni kwa asilimia chache inaweza pia kuchangia na mtu huyo anayohitaji kufika kileleni.

Mwanaume anahitaji kuona
mwanamke aliye sex (mwenye ushawishi au tuite mvuto)
Mwanamke mwenye mahaba .
Mwanamke anayejua kufanya mapenzi na sio gogo kitandani kama walivyo wengi.
Mwanamke mwenye mood nzuri ya kunyanduana sio kama walivyo wengi.

Mimi sio mwalimu wa mapenzi ila kwa kiasi kadhaa mwanaume wa leo anaonekana hana nguvu ya kiume kumbe mambo mengine yanachangiwa na mwanamke mwenyewe.
Umeongea kitu sensitive sana ingawa wapumbavu bendera fuata upepo watakupinga/'mob psychology"
Zamani kwenye makabila yote kabla ya Binti hajaolewa alikua anafundwa,jinsi ya kufanya mapenzi,"The arts of sexual intercourse",psychology ya mwanaume na jinsi ya kuishi naye etc
Sasa hivi wanawake wengi wanasoma SAWA na wanaume na watu huishi maisha ya kimjini zaidi,yaani unakuta mwanamke naye anataka awe kama mwanaume though akiona kabisa biology inamkataa,
Nguvu za kiume 80% psychology problems,
Kuna wimbi kubwa la wanawake wanaojua kujiremba,na warembo kweli kweli,ila hawadumu na wanaume na hawaoleki,sababu hawana taaluma jinsi ya kuishi na mwanaume,binti ana miaka 24,ila miaka 20 yote ameshinda shule,hajawahi kukaa na wajuzi,....anakuja kustuka yupo 40,.
Wanaume wengi wamejikuta hawaperform sexual ipasavyo,.........anarudi home,Binti anataka wigi,hajakaa sawa Binti anataka simu,akitaka kumuingilia hadi amlazimishe,Binti hajui kukatika Wala kubembeleza,fully kisirani na ujeuri wa kufa mtu,kama mwanaume ukifika hali hii achana na huyu Binti maana atakuingiza kwenye impotence secondary to psychological stress
 
Back
Top Bottom