Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,445
Haya bana. Habari ya darajani
Njoo darajani tukufundishe michezo ya kidali po
Haya bana. Habari ya darajani
nahisi hiyo ndoa wewe umeishikilia zaidi
yeye keshachoka lakini hana namna.....akipata namna huyo hutamuona.....
Dalili za desperation hizo. Ukiingiza na umri kwenda basi mtu anajiona kama vile hakuna tena maisha bila huyo mwenza wake.
Watanzania wengi tunashindwa kuelewa kuwa ndoa (na mahusiano) ni hiari. Ukweli huu hadi mwaka jana kuna watu humu walikuwa hawaujui.
mkuu mimi nilikuwa sijui kuwa kuna watu hawajui 'ndoa ni hiari'
really??????
Nahisi kuna mtu kaiba password yako...
inawezekana hujanielewa.....
but huwezi amini....msimamo wako ndio wanawake wengi walivyo.....
anaomba ushauri huku anataka 'ushauri wa aina fulani tuu'
ukimpa ushauri tofauti tu mnagombana....
Boss umesahau jamii yetu ilivo hasa ukiwa mwanamke na watoto tayari ndoa nyingi zinashikiliwa kwa vigezo vingine iwe mapenzi yameisha lazima muendele kudunda kufurahisha watazamaji
Halafu Dena amekimbia but tungempa ushauri mzuri zaidi....
kuna faida nyiingi za 'kuachana kwa wema' mapema kuliko kuvumilia kero....faida moja ni uwezekano mkubwa wa kurudiana kwa moto mpya...
mkuu kuachana ni kuachana tu haijarishi ni kwa wema au kwa mabay .. kumbuka mkiachana lazima kuna vitu kama hasira na visasi huanza hasa panapotokea mabadiliko ya mahusiano
hahaha umepinda wewe...hapa anaambiwa "ampikie apendacho, labda Dena ndo chanzo, apindue sofa etc"....hahaha umeniua mpenzi.
For all you know huenda tayari anayo.
Yaani kabisa huna watu nje ya JF wanaoweza kukupa msaada wa kimawazo na wa kihali hadi uje uweke matatizo yenu ya ndani kwenye hadhira ya JF?
Mdogo wangu The Finest, hapo kwenye Gubu la mume acha kabisa.....mara mia la wifi nakwambia!
Mama wa Kwanza we acha tuuuu ni muda kama wiki tatu hivi
Mwiko upo wapi akifanya hivyo. Ni sawa. Na wewe ile ya demu wako aliyemegwa umesahau au????????????