Mwanaume Hana Moods

samahanini wandugu hapo juu hivi mtu wa kufanyiwa yote hayo ana umri gani? chini ya miaka 25 au?

Ajabu lol

mwingine kamshauri ampikie chakula apendacho, ageuze sofa huku na kule, mapazia etc, ili 2 mwanaume aseme lililopo rohoni, tabu ukute ana yake bibafc yamemkwaza mie nachomeka na gas na akija asile vile vile, na sofa akaona zimegeuka miguu chini, kazi kwa ipo kwa kiumbe mwanamke kweli..
 
hapa imebidi nicheke tu kwanza lol, mi mwenzenu sijui nimeumbwaje kwa umri huu nategemea watu tuishi kiutu uzima kwa kuambizana tu ukweli. Sasa baba ananuna watoto nao je? tena ananuna wiki tatu zote hizo utadhani ndio enzi zile mnaanza mapenzi mwe!
 
kuwa mwanamke ni kazi kweli kweli....chaaa!...Mbu, MJ1 mnamuambia Dena aangalie amekosea wapi? hata kama kuna kitu Dena anakuwa nunda kwa hubby solution ni kumchunia? yeye yupo perfect? haya maisha bwana, hakuna ki2 kinanikera kama kuona m2 mzima na akili zake timamu ananuna nuna kama vile mtoto mchanga anavyolia ucku kucha bila kujua nn kinamcbu, utamvua nguo ukisema joto wapi, utamnyonyesha ukisema njaa wapi, utahic anaumwa cjui nn au nn, ndio kama hivi sasa uanze kujichunguza wkt m2 anaweza kukueleza linalomcbu mkasuluhisha?...mie juzi kauchuna nikauchuna, alivyojirudi anakuja kuniambia ofcn alikereka. imagine? hapo ningejiumiza kichwa bure.....

Hahahah nimeipenda hii Nyamayao na your right...............haka katabia ka kununa bila sababu za msingi nilikuwa nako sema sasa bi Mkubwa kauzu mbaya hamaind mwenyewe huwa najishtukia..........naudhiwa ofisini naenda nacho mpaka home.........Kweli ni ngumu kumjua binadamu mwenzako maana kujijua mwenyewe league tena EPL
 
Yaani kabisa huna watu nje ya JF wanaoweza kukupa msaada wa kimawazo na wa kihali hadi uje uweke matatizo yenu ya ndani kwenye hadhira ya JF?
 
Hahahah nimeipenda hii Nyamayao na your right...............haka katabia ka kununa bila sababu za msingi nilikuwa nako sema sasa bi Mkubwa kauzu mbaya hamaind mwenyewe huwa najishtukia..........naudhiwa ofisini naenda nacho mpaka home.........Kweli ni ngumu kumjua binadamu mwenzako maana kujijua mwenyewe league tena EPL

inakera sana 2 sema nyie hamjui, mie nikikereka ofcn nafikiria muda ufike 2 mr aje anichukue nipate hapa mahali pa kutolea dukuduku langu, nyie mnatoka nazo huko mna2letea mpaka home, chaaa...hahahha mpe hi bi mkubwa, nimempenda sana, wkt wa kujiliza liza umeshapita bwana, mie machozi yangu anayaonea kwenye matatizo, mcba/ajali etc...hivi hivi eti mie na yeye tumelumbana nilie? it was....
 
Just for thinking aloud, sijaona mtu amemshauri DA kutafuta small house. Wanaume wetu washauri mko wapi jamani? Manake angekua mwanaume hapa kalalama angeambiwa mtafutie small house atajiongelesha mwenyeewe!ama swot analysis inahusika?
 
For all you know huenda tayari anayo.
 
Just for thinking aloud, sijaona mtu amemshauri DA kutafuta small house. Wanaume wetu washauri mko wapi jamani? Manake angekua mwanaume hapa kalalama angeambiwa mtafutie small house atajiongelesha mwenyeewe!ama swot analysis inahusika?

hahaha umepinda wewe...hapa anaambiwa "ampikie apendacho, labda Dena ndo chanzo, apindue sofa etc"....hahaha umeniua mpenzi.
 
samahanini wandugu hapo juu hivi mtu wa kufanyiwa yote hayo ana umri gani? chini ya miaka 25 au?
Ajabu lol

umri haijarishi kwani kinachohitajika ni maelewano ndni maana wengi wanapokuwa na matatizo wanakosa ujasiri wa kutatua wanaanza kuibua vitu vingine
 
...jaribu "kumruka" na kanga moja mkiwa mmelala..nyamayao na mwj1 wataku pm namaanisha nini, kwani waliwahi changia topik fulani kutatua usumbufu kama huu
 
itahamishiwa kule, na wengine ha2pendi kuingia kule na yale mapicha picha...aghhhh
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
DA nimekupata mama na kweli umenikamata hahahaha nimejikuta nacheka mwenyewe kwa kuutolea povu upepo! Mwe haya maisha yanawezakufanya udate na kuwa chizi.

Ah bwana furahia maisha ye akija na muno we jichezee zako mdumange furahi. Ukimchekesha unashukuru lengo limetimia asipocheka na kufunguka ah ulijiburudikia mwaya

hahahahahah
 
...jaribu "kumruka" na kanga moja mkiwa mmelala..nyamayao na mwj1 wataku pm namaanisha nini, kwani waliwahi changia topik fulani kutatua usumbufu kama huu
Hahahahahaha usinikumbushe ile thread. Kwa mara ya kwanza nilijua ni jinsi gani nyamayao amepinda kwa kweli.
itahamishiwa kule, na wengine ha2pendi kuingia kule na yale mapicha picha...aghhhh
.....hahahaha leo waruka wakati siku ile ulijiachia kichizi. hebu bwana
 
DA nimekupata mama na kweli umenikamata hahahaha nimejikuta nacheka mwenyewe kwa kuutolea povu upepo! Mwe haya maisha yanawezakufanya udate na kuwa chizi.

Ah bwana furahia maisha ye akija na muno we jichezee zako mdumange furahi. Ukimchekesha unashukuru lengo limetimia asipocheka na kufunguka ah ulijiburudikia mwaya

hahahahahah

Umesomeka dear
 
mkuu hadi leo bado mood hijarudi?utakuwa kuna kitu umemuudhi au katingwa.just be mpole umvumilie mood itarudi tu.hayo ya kukosa mood ni mambo ya kawaida kwa wapendanao.endelea kujipenda na kupenda nyumba yako kwa ujumla mambo yatakaa sawa.pole sana.mia
 
Nimekuelewa Dear
 
Back
Top Bottom