emanuel prim
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 508
- 477
Hahahaaaa
Teh Teh Teh!!..Cha fasta fasta migombaniwe siku ya game sivai chupi
Dawa yake ni mimba kila mwaka sasa sijui ataenda kuchepuka na mimbaHii ni kutuambia tukitoka tuvae chupi midabwada. Mvumilie kugongewa tu maana hamna namna..uwe mwenye pesa, usiwe nazo..uwe umezaliwa ocean road au tandahimba.
Michepuko haina formula.
Mimba kila mwaka! Wanawake wengi now wanajitambua si rahisi kukubali hivyo. Akitaka mimba isiingie na haiingii ng'o.Dawa yake ni mimba kila mwaka sasa sijui ataenda kuchepuka na mimba
chupi nyingine zinaendanana nguo fulani ,, sasa unakuta chupi aliyoshika haifai kuvalia hiyo nguo
Mkuu,Ilikuaje mkuu
.Ndo maana yakee yakheee
Anamlazimisha avae zile chupi soksi na sketi.chupi nyingine zinaendanana nguo fulani ,, sasa unakuta chupi aliyoshika haifai kuvalia hiyo nguo