waza_makubwa
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 214
- 76
Bora huyo kachagua na kuvaa chupi..Kuna wengine wanaenda bila kuvaa chupi
Ili afike na kuchomekewa? Hhhhh
Bora huyo kachagua na kuvaa chupi..Kuna wengine wanaenda bila kuvaa chupi
Atakufa siku sio zake..Basi uwe unamfuata anakokwenda mkuu
Siku nyingine ukiona anachagua chagua chupi mwambie "Bora uende bila kuvaa chupi ndio fashion mpya mjini"Mkeo anakuaga leo anakwenda saloon au kwenye kikao cha kina mama, anaoga anaingia chumbani anaanza kuvaa, anashika chupi ya kwanza anataka kuivaa anaiacha anachagua ya pili anaitazamaa anaiacha pia anaona ya tatu ndo inafaa kisha anavaa.
Wewe umelala tu kitandani unachat kwenye whatsapp hujiulizi swali "anachagua chupi nzuri ili nani akaione, kama kuna chupi mbaya kwenye list si azitupe anunue mpya".
Anakuaga anaondoka na wewe unamwambia poa mchana mwema wasalimie uko town, halafu ukiitwa fala unakuja juu eti "ooh mi mtoto wa mjini nimezaliwa ocean road".
Alfu siunajua michepuko haina mambo ya drama nyingi ni mambo ya chap..Huku anamwambia fanya haraka nimemuacha boya nyumbani alfu alikuwa ananikodolea macho nikichagua ile chupi unayoipenda beb!!..Ili afike na kuchomekewa? Hhhhh
Kweli kabisa, wa kumbwato ni wakumbwato tu.Mkuu kama kaamua kutombesha hata akivaa gagulo na chupi iliyochanika ataliwa tu....mtu mzima hachungwi
Tupo sisi wa enzi mwalimuHivi wapo wanaovaa magagulo siku hizi...nina muda sijayaona
Te te te hiyo kweli....na kuna midude mingine mnavaa inafanana na magagulo inaning'inia hadi miguu...wanayavaa sana wazalamo sijui yanaitwajeTupo sisi wa enzi mwalimu
Hii mupya,chupi nyingine zinaendanana nguo fulani ,, sasa unakuta chupi aliyoshika haifai kuvalia hiyo nguo
Kweli ee...kama umevaa blouse au sketi nyeupe uvae na kyupi cheupechupi nyingine zinaendanana nguo fulani ,, sasa unakuta chupi aliyoshika haifai kuvalia hiyo nguo
Hapo unavaa chupi nyeusiKweli ee...kama umevaa blouse au sketi nyeupe uvae na kyupi cheupe
Kuna NGUO ukivaa chupi ikiwa ya aina Fulani inaleta show mbaya hasa kwa nyuma .. Ndiyo maana tunachagua sa zingine unaweza kuvaa kabisa nikaamua kuvua baada ya kujiangalia kwenye kiooo.. Mimi sijambo sanaHii mupya,
Hii matching anaenda Jaji Nani?
BTW, Hujambo wewe mzuri mzuri?
Mmh na hili joto ni balaaaAnamlazimisha avae zile chupi soksi na sketi.
Ndiyo hivyo we unaweza kuvaa suruali nyeupi na libukta jekundu?Chupi aka nguo ya ndani nayo lazima iendane na nguo fulani, nyie wanawake muna mambo nyie
Chini ya mikahawaTeh Teh Teh!!..Cha fasta fasta migombani