Mwanaume bumburuka acha uboya wa hivi

Mwanaume bumburuka acha uboya wa hivi

Hii ni kutuambia tukitoka tuvae chupi midabwada. Mvumilie kugongewa tu maana hamna namna..uwe mwenye pesa, usiwe nazo..uwe umezaliwa ocean road au tandahimba.
Michepuko haina formula.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Nimelet 5x to be m tehe.....
 
hiyo ni nguo tu. maana akivaa na jinsi akiinama inaonekana so lazima achague rangi.

kuna wake za watu huku wameshazoena na watu nje ya ndoa kama ilivyo na wewe humo ndani so haoni hata isssue.. ukute anafika huko nakuanza kizichagua zingine mbele ya mwingine kwa kipindi kingine wakati mwingine na sehemu nyingine.

Punguza presha baki na principles zako tu......,
 
chupi nyingine zinaendanana nguo fulani ,, sasa unakuta chupi aliyoshika haifai kuvalia hiyo nguo
Hahaha dah iv kumbe chupi nazo ni fashion teh
Halafu huyu mtoa post naye, inamaana huwa anamwangalia mkewe akiwa anavaa chupi teh... Haya mambo mengine bhana
 
Hahaha dah iv kumbe chupi nazo ni fashion teh
Halafu huyu mtoa post naye, inamaana huwa anamwangalia mkewe akiwa anavaa chupi teh... Haya mambo mengine bhana
Mtoa post nadhani anamnunulia mkewe machupi makubwa kama bukta .. Chupi zinamikato Yake
 
Mtoa post nadhani anamnunulia mkewe machupi makubwa kama bukta .. Chupi zinamikato Yake


Hahahahaha
Akiwa anautoka nampangia kbsa avae ipi ili asipendeze sana huko akienda pigwa jamaa asivutiwe sana
 
Chupi aka nguo ya ndani nayo lazima iendane na nguo fulani, nyie wanawake muna mambo nyie
Mara waseme kuvaa chupi ni ushamba na hao wengine iendane na rangi, mbona havieleweki!
 
Hahahaaaa mavi anye kuku akinya bata ku2harisha eeh...
 
unakataa ukweli?
Ukweli upi sasa...yaaani mie nkitoka nisivae vizuri hata kama nikutafute pants nzuri..lakini we,unyoe ndevu..uvae nguo smart..Uniambie nikunyoe zivu..upulize your best cologne..nisishtuke...khaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom