Hivi wapo wanaovaa magagulo siku hizi...nina muda sijayaona
Yaliyovaliwa?[emoji33]Hujaamua tuu,mbana yapo madukani.................
Bora huyo kachagua na kuvaa chupi..Kuna wengine wanaenda bila kuvaa chupi
we siku ya game sivai chupiinaonekana ndo kamchezo kako
Siku ya game lazma uvae pichu mpya
ha haha huyu ndiyo yule mwanume akikununulia chupi anachukua zote nyeusi au za kijaniHii ni kutuambia tukitoka tuvae chupi midabwada. Mvumilie kugongewa tu maana hamna namna..uwe mwenye pesa, usiwe nazo..uwe umezaliwa ocean road au tandahimba.
Michepuko haina formula.
ha ha ha ha mkuu unanioneaSasa ww ni jipu kabisa
halafu michepuko hakuna mipango mingi.. mpango mkuu ni kufanya tu ha hahahaIla wadau kuwa na mchepuko raha sana maana kwa mchepuko mnajiachia sana hata vitu mkeo hakupi unaeza pata kwa mchepuko