RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,825
- 136,985
Sharp....Kunani?
Sharp....Kunani?
bamdogo umemaanisha nini hapoIfike mahali kila mtu acheze ligi yake
Tunashukuru kwa ushauri wa kikafirView attachment 502106
View attachment 502107
Upendo ni muhimu katika mahusiano, lakini mwanaume kuwa na fedha hufanya mapenzi kuwa na mvuto zaidi. Mwanaume ni lazima awe na fedha kwa ajili ya kumnunulia mpenzi wake zawadi mara kwa mara siyo leo amemnunulia mpenzi wake kijizawadi ndiyo asubiri mwakani, lakini pia kumtoa mpenzi wake out au kuwa na mitoko ya mara kwa mara ni muhimu achilia mbali kuwa na kawaida ya kumtumia mpenzi wake fedha za matumizi mbalimbali na pia muda wa maongezi kwenye simu yake yote haya ni muhimu kwa mwanaume kumhudumia mpenzi wake.
Mambo haya yanatakiwa kufanywa na mwanaume bila kusubiri kuombwa na mwanamke maana si kila mwanamke anajua kuomba omba lazima mwanaume ajue wajibu wake wa kumhudumia mpenzi wake badala ya kusubiri mpaka aombwe. Kila mwanamke anapenda kuwa na mwanaume atakayemudu kumhudumia kwa kila kitu hapo ndipo mapenzi yanapokolea na mwanamke kujitoa kwa mwenzi wake na kuhakikisha anampa raha wakati wote.
Huu ujumbe hauna maana ya kuwananga na kuwatweza wanaume wasio na fedha, la hasha, najua kutokuwa na fedha ni suala la muda tu lakini pale utakapojaaliwa hata kidogo jitoe kwa kumpa mwenzi wako fedha na kumnunulia vijizawadi vidogo vidogo na yeye anaiona hali yako atakuheshimu.
Kuna ile mijanadume ambayo ina fedha lakini mibahili ka nini, hiyo ndiyo uzi huu unawahusu sana. Jamanieeee Wanaume msiwe wabahili kuwahudumia wapenzi wenu kwani ubahili utawafanya kila mwanamke awakimbie na mwisho wa siku utaishia kuitwa shemeji
Kwa wanawake wenzangu. Kamwe tena naomba kusisitiza, Kamwe usijitie kiherehere kumhudumia mwanaume, kumbuka fedha zako zikiisha atakutosa na kutafuta mwanamke mwingine.
Ni ushauri wangu wa bure
CC: charminglady, Nifah, Miss Natafuta, snowhite, BADILI TABIA, gfsonwin, King'asti, Super women 2,
kwahiyo ukiwa na mwanamke hasahau ata sumni yako ila ww mautamu utakua unatakaNikiwa na mwanamke anategemea hela yangu namtumbua maana anakuwa ni jipu
Mizinga tu papuchi atoi akuuuAnabana nini?
We mbona ukienda kuhonjombora hauombi risiti ya vitu ulivyovitoa? Mbona hautozwi ushuru wa uchakavu unaomfanyia mwanamke? Let's play fair games men
Kila mwanamke au mwanamme akiwa na mpenzi wanaoendana hizi lawama zitapungua.bamdogo umemaanisha nini hapo
nimekuelewa kama ligi yako ya mchangani usitake mambo ya uwanja wa TraffordKila mwanamke au mwanamme akiwa na mpenzi wanaoendana hizi lawama zitapungua.
Fikiria. Mdada anayehitaji wigi la m3 akiwa na mwanamme anaingiza laki 3 kwa mwezi lazima mwanamke huyo atalalama.
Ila mwanaume huyo akiwa na mwanamke anayesuka yeboyebo kwa mwezi mara 1 malalamiko kama siyo kupungua basi yataisha.
Yes sure.nimekuelewa kama ligi yako ya mchangani usitake mambo ya uwanja wa Trafford
We unaongelea nguvu mi ninaongelea vifaa..Uchakavu? Hivi kati ya mwanaume na mwanamke nani anaetumia nguvu kwenye 6x6?
Ooh. You sweet..thanksSharp....
sawa bamdogo acha me nibaki na ligi yangu ya mchangani teh tehYes sure.
Ukiona hivyo hajalainishwa kwa fedha Mkuu.
Fedha ni kilainishi kizuri kwa mwanamke lakini kama mwanaume anakuwa bahili na papuchi hapati
Mamdogo wewe ligi yako sio ya mchangan bwana... upo hii ya simba na fc libolosawa bamdogo acha me nibaki na ligi yangu ya mchangani teh teh
mapenzi ni furaha na si pesa ukitaka hudumiwe kama mke demand ndoa na c uwe hawala unataka uhudumiwe tuu haipoo iyo ww utabaki kuwa chapa ilale kipozeo tuu matunzo anapewa mke halali....
hahahha hamna bamdogo ya mchanganiMamdogo wewe ligi yako sio ya mchangan bwana... upo hii ya simba na fc libolo
Mamdogo kwa zile Brazilian hair sikubali hata kwq dawa.hahahha hamna bamdogo ya mchangani