Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,120
- 7,911
Bado mvulana huyo. Na we kua na msimamo ataacha drama zake.Mkuu trust me nikikwambia kuna watu hawana direction yoyote ya future wife. Huyu mtu kwanza ni muwazi sana. Kama anataka kukutumia anakwambia wazi anakutumia. By the time tupo kwenye mahusiano kiukweli alikuwa anajituma na hizo tabia za kujiachia hivyo hakuwa nazo. Tumeachana naye baada ya kunichoka. Hatuna future. Hapo ndio akaanza fujo. Anazunguka huko siku akiniona anaanza kunicompare na mademu zake. Mara ananiwekea mazingira ya mimi kumuhitaji yeye. Nikimchana simpendi ananuna. Mara analalamika katika mademu zake hakuna yoyote wa maana mradi vurugu tu.