Safi sana! nampongeza huyo mama..!
Safi sana! nampongeza huyo mama..!
Jamaa kachelewa kurudi nyumbani na kodi ya meza hakuacha asubuhi mama akaamua kujichukulia sheria mkononi kwa kumshushia kipigo kama vile anamwadhibu mwanae. Jamaa hakufua dafu na wala hakurusha hata ngumi zaidi ya kujikinga na fito zilizo kuwa zikumshukia mithiri ya mvua ya mawe. Sasa wanawake wote wakiamua kujichukulia sheria mkononi nyumba zetu zitakuwa na amani kweli?
natamani uzi huu uuanganishwe na ule wa mtambuzi wa kumpiga mwanamke
Acha uchokozi wewe, safi sana mtu labda kakatwa mshipa wa noah pori?
Ngoja siku unyimwe unyumba mwezi mzima uone inavyo uma
Unajua kwa nini nampongeza huyo mama kwa kumpa kichapo mumewe?Acha unoko kijana kinachokufurahisha na kumpongeza huyo mama nininihasa.subiri zamu yako ifike utatafuta pakutokea nyambafuweee!!!
Italeta maana zaidi ukipelekwa kule.
Maana kule ni haki za akina mama tu zimetawala, itatufanya tuangalie kwa matizamo wa haki za binadamu.
Unajua kwa nini nampongeza huyo mama kwa kumpa kichapo mumewe?
Mie nilitegemea nyote mtaniuliza kwa nini? badala yake peoples power.......??????? matusi.
Ubaya ni kwamba wanawake wababe hawana staha yaani anamshushua wazi wazi mmewe kama hivi
haya mapenzi ya kupiga pigana haya, huyo mwanamke kama ana nguvu angelima mchicha auze wapate hela ya kula....