Mwanaume anazeeka akiwa na umri gani..??

Duh kumbe mt.paka mweusi bado anakopa eeeeh,aangalie asijeitiwa mwizi akapoteza uhai


Bahati hizi mnaziachia,juzi nimekuambia utanizoea polepole ukaruka,ndema ni nataka hendsamu....haya bana mi bado niponipo sana tu...
 
Ee Bwana, Twakuomba utusikie.

Popote ulipo charminglady, hebu fanya juhudi kwa hisani ya watu wa Tanzania, Huyu Paka mweusi ajitwalie mke wa ndani ya uzao wako. Ili siku mwanao akinaniliyu, Huyu Paka afaidi matunda ya ndoa yake kwa kunaniliyu na naniliyu wa naniliyu wake. Tunaomba hayo kwa jina la bwana wenu ODM. Amina.


Kiitikio : Eeee charminglady,twakuomba utusikie...
 
Last edited by a moderator:
Wanakutisha tu! Mimi nimemwoa marejesho juzijuzi tu na nina thate something. Kula raha kwanza u.jinga ukutoke ndio uoe. Usije ukamletea wife utoto!
 
Last edited by a moderator:
Wanakutisha tu! Mimi nimemwoa marejesho juzijuzi tu na nina thate something. Kula raha kwanza u.jinga ukutoke ndio uoe. Usije ukamletea wife utoto!


Kaka huu ninauita ushauri dume,maana walivyonishikia bango utafikiri nimekaribia menopause na wameniahidi nisipooa ndani ya miezi sita wananiitia kikao cha wajomba ili wanihakiki utendaji wangu hahahahah...
 
mie simo! Halafu mbona hujasema lolote kuhusu safari ya Tanga babu!? Au ndio sapraizi?
Hivi hiyo makitu si ni December mkulu? Ngoja kwanza nisemezane na Ziraili mtoa roho za watu nione kama atanistahi mtakatifu mimi?
 
Back
Top Bottom